Kwako Mwita Waitara na CCM Ukonga

EXPULSION

JF-Expert Member
Apr 1, 2015
386
280
Poleni na hongereni na majukumu ya kulijenga Taifa,

Mwita Waitara na CCM ukonga niwape hongera kwa maandalizi mazuri ya marudio ya uchaguzi. Sina shaka jimbo litarudi CCM na wewe mheshimiwa utarudi bungeni. Napenda tu uupate huu ujumbe wangu popote pale ulipo. Mimi ni mwana ukonga na ni kijana mpenda maendeleo bila kujali itikadi ya aina yeyote. Ningependa tu nikupongeze kwa uamuzi wako wa kujiunga na chama cheti na ningeweza kupata nafasi ningekunadi jukwaani pamoja na mtaa kwa mtaa bahati mbaya niko mbali na ukonga kimajukumu. Niwatakie kampeni njema na ya kistaarabu ili kuweza kurudisha jimbo mikononi mwa chama bora kabisa barani Afrika

Mwana CCM-Kijana mpenda maendeleo
Changoko-Same
 
Akili mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20180807-WA0007.jpg
IMG-20180807-WA0010.jpg
 
Kijana mpenda maendeleo :D:D
 
Ugonjwa wa akili huo sasa
 
Namba ya simu hujaiweka hapa!
 
Back
Top Bottom