Kwako mwandaaji wa mashindano ya miss chitchat. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwako mwandaaji wa mashindano ya miss chitchat.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Wajad, Oct 4, 2012.

 1. W

  Wajad JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Napendekeza kwamba mshindi wa mwezi uliopo awe anaingia mojakwamoja kwenye shindano la mwezi ujao kwa ajili ya kutetea taji lake. Kwa hiyo mchakato uwe ni kumtafuta mrembo mmoja tu atakayepambana na mshindi aliyepo. Endapo mshindi atanyakua taji hilo kwa miezi mitatu mfululizo, ndipo ang'atuliwe kwa manufaa ya ma miss wengine. (ni pendekezo tu jamani)
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wazo zuri and i hope Ruhazwe JR. Lundenga atalifanyia kazi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Siungi mkono hoja ila natoa hoja kuwa kabla shindano halijaanza wagombea lazima waje kwangu kwa ukaguzi ili kukwepa aibu ya kumpata Miss mwenye mimba ya miezi saba kama ilivotokea kwa Madame B.

  Vigezo na masharti kutozingatiwa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  haya mambo yamekaa kaa ki kukosakosa mkopo
   
 5. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Mashindano ya mwezi ujao tunatafuta muandaaji mwingine kwani Ruhazwe JR amepwaya, zawadi na mchakato mzima kuboreshwa ni kipaumbele cha muandaaji mpya.
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Unan'taka?
  Nakuuliza tena Unan'taka?
  Utaziweza sarakasi zangu?
  Hyo mimba ulinipa wewe?

  Jamani wana ChitChat wenzangu
  Napenda kuwaarifu na Kuwaambia kwamba Miss ChitChat wenu sina Ujauzito wotote.
  Nh mbinu Chafu za Babu Asprin kutaka nionekane Nionekane Nimepata taji Kimagumashi.
  Ameamua kusema Hivyo baada ya Kukataa Ombi lake pale Aliiponitongoza Baada ya Kunikuta Jana Usiku Pale King'Star Executive Inn napata Dinner.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Wangu kaa mbali na aspirin!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Nashauri kuwepo na kipengele cha maswali kwa wagombea!
   
 9. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Haya wangu.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Khaa! Marie Stoppes washaichoropoa? Naenda kusema kwa mama!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Heheheheh..... mkuu bora umwambie akae karibu na mimi kuliko yule draiva wa malori ya Konoike aliyekuwa naye jana pale King'star. Jamaa kishaharibu vizazi vya wahudumu wote wa Kibira na Parking bar.

  Kuna mmoja alinisimulia eti jamaa anaingizamo goti badala ya storongo, kumbe hakujua jamaa ni mlemavu wa kikojoleo chake. Khaa!
   
 12. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Nasikia Siku hzi amepanunua Pedeshee NdamaMutoto ya Ng'ome.
  Mzee Kibira amechemka.
   
 13. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Komaaaaa!!
  Ntakuroga.
   
 14. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  It's officially JF-CC never boring and it is STRESS FREE ZONE (SFZ).
   
 15. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ndo mana yake.
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Leta ushahidi

   
 17. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Mwambie huyo.
   
 18. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Anakutaka huyo dada madame yan mijitu mizima hovyooo sa mimba alikuwekea yeye? Babu eeeh usituchafulie miss wetu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nilikua nasinzia bt macho yangu yamechangamka kabisaaaa
   
 20. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  shost upo, nimekumissje? za chuo? jamani tutaftane. . .
   
Loading...