Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,331
- 8,254
- Thread starter
- #141
DART Mwendokasi wapo wata mfikishia huu ujumbeNi ushauri mzuri, Ila je, una uhakika kuwa Mkurugenzi yupo jf?
Mie nadhani ungemtumia nakala ya huu ushauri aliyemteua ili amfatilie kwa karibu mteule wake kama anazingatia huo ushauri.
Itakua nzuri kweliDART Mwendokasi wapo wata mfikishia huu ujumbe
Ahsante sana mkuu, kwanini hakuna?Umeandika vizuri tatizo hakuna atakaye kusikiliza.
Tuko Dubai tunaangalia kwanini wameendelea kuliko sisi.
Mkuu kama ulivyo shauri ni vyema mwendokasi wakaachana na haya makaratasi na mambo ya kutengeneza makadi inabidi mifumo ya mwendokasi iweze kukubali au kupokea malipo kupitia ATM card zote,kadi zingine kama za kina Azam na N-card…hakuna sababu yakuwa na makadi mengi mfukoni lazima serikali ije na card moja na iruhusu kadi nyingine kutumika hasa za bank maana yake asiye na card ya bank basi awe na N-card basi kwa hiyo watu wote tutajua kabisa nikikosa N-card basi niweze kutumia ATM card yangu kufanya malipo ya viingilio kwenye matamasha au mpira au nauli basi!Kuna faida nyingi sana utazipata kama utatumia Mwendokasi App:
View attachment 2933120
Programu Tumizi ya Mwendokasi inakusaidia katika.
Sasa unaweza kukata tiketi yenye Msimbokodi (QR CODE) kirahisi kupitia Programu tumizi. Tiketi yenye Msimbokodi iliyonunuliwa kupitia Programu Tumizi ina sifa zifuatazo;
- Kukata tiketi
- Kupanga safari
- Kutoa taarifa ya tukio lililotokea katika ushoroba
- Kufahamu endapo kuna changamoto imetokea ambayo inaathiri au imeathiri huduma kwamfano ajali, mafuriko nk.
- Kuona njia za (uelekeo wa) mabasi na ratiba za mabasi husika.
- Kupata habari na kufahamu maswali yanayoulizwa mara kwa mara.
Sasa unaweza kununua tiketi kupitia Programu Tumizi ya Mwendokasi
- Tiketi inakwisha muda wa matumizi baada ya saa tatu kupita.
- Kituo unachokichagua ndicho utakachokitumia kupandia basi.
- Hutaweza kubadilisha kituo mara baada kununua tiketi.
Faida ya kutumia Program Tumizi
- Kuepuka kusimama katika foleni ya kunua tiketi
- Inaokoa muda
- Huitaji kutembea na fedha
- Unaweza kuona miamala yako
Ni kweli mkuu. Unaweza kuwa na mchango wowote juu ya hiyo changamoto?Shida kubwa ni idadi ya mabasi. Mengine yanavumilika!
Wewe unaweza kutoa huo ushahuri? Chawa ambae kazi yake ni kupaka mafuta uozo leo umewezaje kutambua ushahuri mzuri?Umetoa ushauri mzuri sana ewe mtia nia ya ubunge jimbo la Mbozi. Naamini wahusika na mhusika atapita hapa na kuchukua ushauri wako huu mzuri na mwingine mwingi ambao atapewa na watu wengine .
Umeandika vizuri sana mkuu.Mkuu kama ulivyo shauri ni vyema mwendokasi wakaachana na haya makaratasi na mambo ya kutengeneza makadi inabidi mifumo ya mwendokasi iweze kukubali au kupokea malipo kupitia ATM card zote,kadi zingine kama za kina Azam na N-card…hakuna sababu yakuwa na makadi mengi mfukoni lazima serikali ije na card moja na iruhusu kadi nyingine kutumika hasa za bank maana yake asiye na card ya bank basi awe na N-card basi kwa hiyo watu wote tutajua kabisa nikikosa N-card basi niweze kutumia ATM card yangu kufanya malipo ya viingilio kwenye matamasha au mpira au nauli basi!