Kwako Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

Status
Not open for further replies.
Taarifa nzuri zitasaidia kumshughulikia, yeye na huyo SASSI halafu wote ni musoma gangs,
Mama mhagama ona hii kitu iko chini ya uwezo wako nenda tumbua mameneja wote wa nssf mkoa wa dar
Na huyo meneja baada ya kufika Temeke ameunda mtandao wake wa kula Rushwa kunazia kwa Amina Mkorehe, Aisha makuberi na wengine ambao amewapangia majukumu ya kupitisha maombi ya malipo ya wanachama.
Ndugu Mshomba akishavuta mpunga wanagawana na kina SASSI
 
Huyu Meneja mkitaka kujua ukweli wake uko wazi sana, maana aliwahi hata kufukuzwa kazi Arusha, na alipoenda tanga alikula michango ya Eckenford na saccos feki.
Huo mtandao aloanzisha hapo alipo una mizizi imeenda hadi kwa huyo SASSI ambaye watu wanasema ndo amembeba kwa mbeleko kwa Erio hadi kuukwaa umeneja.
Hana credibility hata kidogo.

WatU wanashangaa 26m amelipwa mtu toka HQ kwenda kinondoni erio na genge lake wakiwa ppf walikuwa wanajilipa hadi 500m kila baada ya miaka miwili ilopelekea chief account kufukuzwa kwa kutaka kuingilia wizi ule,
Sasa kaja nssf kwenye fedha anafanya wizi na watu wake,
Sasa mfano huyo meneja wa Temeke inasemekana aliunda saccos feki na kujitwalia 400m yeye na wenzake matokeo yake walimpongeza kwa kumpa Umeneja pamoja na kua taarifa zote walipewa kumhusu.
Nadhani ilikua ni sehemu ya kupitisha rushwa kuwafikia watezi wake.
Huyo ananuka rushwa hadi ya ngono kwa watumishi walio chini yake, walinzi wa kike nk
Huku kubebwa hadi lini.
DG mpya fanya mambo
 
Huyu Meneja mkitaka kujua ukweli wake uko wazi sana, maana aliwahi hata kufukuzwa kazi Arusha, na alipoenda tanga alikula michango ya Eckenford na saccos feki.
Huo mtandao aloanzisha hapo alipo una mizizi imeenda hadi kwa huyo SASSI ambaye watu wanasema ndo amembeba kwa mbeleko kwa Erio hadi kuukwaa umeneja.
Hana credibility hata kidogo.
Pamoja na mbeleko ya kina SASSI pia kuna Hr mmoja anaitwa Leah ambaye ametimiwa sana na Erio, sasa yeye kama alivyokua mbwette alianza utaratibu ktk mchakato wa kupandisha vyeo basi yeye alikua anapeleka majina ya watu wa kanda ya kusini magharibi ambako yeye ametokea, hivyo kufanya upendeleo kuwa wa kikanda, yaani musoma gang na iringa/ mbeya gani.
Mkurugenzi fanya utafiti ikiwezekana angalia vigezo vyote vilivyotumika kuwapata mameneja.
Kuna wakati huyo HR inabidi uji commit kwa kutoa chochote ndo uwe shortlisted
 
Mitano tena aaah Mia tena mataga waimba mapambio ya kusifu na kuabudu tumeboresha nidhamu ya watumishi wa umma na kuziba mianya yote ya ufisadi .
Screenshot_20210423-004554.png
Screenshot_20210423-004604.png
 
Hahaaaa, kweli kabisa kuna jamaa mmoja nimesoma nae anaitwa Sassi nasikia huyu ndo nyoka wa Erio, alikua anafanya umbea na uwezo hana.
Huyu ni wa kumpa u afisa ustawi wa jamii huko Longido.
Sassi ni wa kumpa afisa mtendaji kata huko kwao, na huko akileta ujinga wanamtia mapanga tu shenzi
 
Erio alifukuza watumishi waliokuwa wanamwambia ukweli pale PPF! Hao ni Meneja Kedron Mbwilo, Emmanuel Kakuyu na Siriel Mchembe.

Wote wameshinda kesi na Erio ametumia zaidi ya bilioni 2.5 kuwalipa fidia na zaidi ya mil 500 kupambana kuhusu kesi hizo ikiwemo kuhonga mawakili nk. Mungu sio Athumani ameshindwa hizo kesi.

Ametumia pesa za Wastaafu kulipa hayo ma fidia. CAG achunguze haraka hilo na Erio na hiyo Mgt yake ya PPF aliyohama nao wote wanatakiwa kuwa jela muda huu.

Tunakuomba Rais wetu Samia ulisimamie hili liwe fundisho na kwa maboss wengine wenye tabia za umungumtu kama Waziri wa Utumishi na Utwawala Bora alivyoonya kwenye kikao juzi.
Mwivi hyooooo
JamiiForums372511979.jpg
 
Tunakupongeza kwa kuteuliwa kwenda kulisimamia shirika kubwa la NSSF ambalo kabla ya hapo alikuwepo bwana Erio.

Baada ya pongezi zangu nikupe dondoo za kitu cha kufanya mara uingiapo na kuanza kazi.

Kwanza ujue Erio alikuwa ni mtu wa aina gani.

Kwa ufupi Erio ni kati ya watu wabaya sana ambao wanaweza kuwa wanakuchekea huku wanakuua. Ni mtu hatari sana sana, alijitahidi kupenyeza kila namna aweze kubaki ila maombi ya wafanyakazi wa iliyokuwa NSSF(kabla ya mifuko kuungana) na yeye kuweza kumfitini mtangulizi wake Profesa Kahyarara (sasa Katibu Mkuu Uwekezaji) na akaondolewa pale NSSF yeye akatake over.

Huyu bwana Erio kuingia NSSF aliamua kuja na management yake toka PPF na kuwafitini wale walokuwa wanakaimu nafasi za kurugenzi baada ya managemet ya Dau kuondolewa.

Aliwafitini na kuwapeleka jela kwa uhujumu uchumi na baadae waliachiwa baada ya marehemu JPM kujua ukweli.

Sasa huyu Erio aliamua kuja na management na kuwapandisha vyeo maafisa toka PPF hadi nafasi ya Umeneja na kuwaacha waliopigana na kulifanya shirika liwe lilipo sasa.

Alijenga chuki dhidi ya waliokuwa wafanyakazi wa NSSF kiasi cha kuwanyima haki zao nyingi na hata kuvunja umoja wao wa NSSF hiari ambao walikuwa na utaratibu wa kujichangia asilimia 10 ya mshahara wao kama voluntary scheme nje ya utaratibu wa kuchangia kwa lazima ambako walikuwa wanachangia PPF kabla ya merging.

Huyu bwana ameshirikiana kwa karibu sana na mkurugenzi wa fedha (DF) katika kuwanyanyasa na kutoa lugha za matusi kwa staff wa zamani wa NSSF na kupelekea wengi kustaafu ktk miaka 55

Waliobaki waliamua kila mmoja kusali kwa imani yake ili mradi siku iishe na Mungu aoneshe njia mpya.

Sasa wewe Mr Mshomba umeingia hapo hatua ya kwanza angazia idara ya Finance na Human Resource.

Hawa watakukwamisha na au kukufitini ili wakuondoe.

Anza na Mtu anaitwa Ruchunga na Mganga huku ukifuatilia kwa karibu DIT atakaehujumu mfumo wa kompyuta.

Kuwa karibu sana na wafanyakazi wa zamani wa shirika wakupe ushirikiano na utafanikiwa kujianasua na mitego mingi na uchawi alioweka Erio ktk ofisi yake.

Usikubali kukaa ktk ofisi ya mtangulizi wako maana alikuwa mchawi sana atakuwa kaweka mambo ya ajabu ajabu ktk ofisi hiyo

Itisha vikao vya staff wote ili watoe kero zao. Hasa baraza kuu la wafanyakazi ambalo lina wawalikilishi toka kila mkoa.

Hakikisha mameneja wote wa mikoa ya Dar wanaondoka(omba vibali kwa Katibu Mkuu Kiongozi amuagize Katibu Mkuu Utumishi awapeleke sehemu nyingine) Bila kusahau mameneja walioteuliwa na Erio nje ya Utaratibu ambapo kila mtu alitakiwa aombe na usaili ufanyike kumpata mwenye sifa stahiki.

Mwisho nikutakie majukumu mema katika nafasi hii mpya.

Mungu akubariki
Kwa hali hii mtu aje amtetee Erio,
Hata kigogo anamjua
JamiiForums1638257894.jpg
 
Kwa hali hii mtu aje amtetee Erio,
Hata kigogo anamjuaView attachment 1761000
Yaani inachefua kuona madudu haya, hata kigogo umeyaona????
Sasa mshomba anza kazi, usichafuke hata kidogo, tuko nyuma yako kukusaidia, ila ukitaka ufanikiwe kama wenzangu walivyokwisha sema, fyekelea mbali masalia ya ppf, yaliyoko makao makuu, na mameneja wa mikoa ya dar ambako ndiko kunakokusanya 90% ya michango.
Kuna mameneja ambao hawaendi kukusanya michango kazi yao ni kukaa ofisini na kula rushwa toka kwa wanachama kama wenzangu waliotangulia walivyosema.
Nasisitiza tena.
Meneja wa kinondoni na Temeke hao ni wala rushwa namba moja.Ushahidi upo tutakuletea kama ukihitaji.
Hao mameneja plus watu wao waliowaweka compliance na benefit wahame wote.
Bila kupepesa macho wa mbezi beach aondoke, benefit temeke ondoa watu sita majina ntakutumia inbox, makao makuu ondoa kule sheria, HR na uhasibu pia mameneja wote wa Audit, naamini utapata msaada mkubwa toka kwa wizara.
Jenga timu safi ya nssf.

NB
Katika mameneja wa dar, anza na wa Temeke maana ni masalia ya erio aliwaasi wenzao wa nssf na mchawi alobobea.
Mrudishe tikeba kuwa DF na Chiku THABITI kuwa CA
Nawatakieni jumamosi njema na mfungo imara wa ramadhani.
Inshallah tusonge mbele
 
Mshomba usisahau kua kuna ofisi Mbezi beach pale alikuwepo Senior officer baada ya ppf kuja wakamtoa wakapeleka a very junior office kanaitwa SOSTENESS LYIMO nadhani ana undugu na mkurugenzi mmojawapo.
Huyu dogo aondoke mapema sana
 
Yaani inachefua kuona madudu haya, hata kigogo umeyaona????
Sasa mshomba anza kazi, usichafuke hata kidogo, tuko nyuma yako kukusaidia, ila ukitaka ufanikiwe kama wenzangu walivyokwisha sema, fyekelea mbali masalia ya ppf, yaliyoko makao makuu, na mameneja wa mikoa ya dar ambako ndiko kunakokusanya 90% ya michango.
Kuna mameneja ambao hawaendi kukusanya michango kazi yao ni kukaa ofisini na kula rushwa toka kwa wanachama kama wenzangu waliotangulia walivyosema.
Nasisitiza tena.
Meneja wa kinondoni na Temeke hao ni wala rushwa namba moja.Ushahidi upo tutakuletea kama ukihitaji.
Hao mameneja plus watu wao waliowaweka compliance na benefit wahame wote.
Bila kupepesa macho wa mbezi beach aondoke, benefit temeke ondoa watu sita majina ntakutumia inbox, makao makuu ondoa kule sheria, HR na uhasibu pia mameneja wote wa Audit, naamini utapata msaada mkubwa toka kwa wizara.
Jenga timu safi ya nssf.

NB
Katika mameneja wa dar, anza na wa Temeke maana ni masalia ya erio aliwaasi wenzao wa nssf na mchawi alobobea.
Mrudishe tikeba kuwa DF na Chiku THABITI kuwa CA
Nawatakieni jumamosi njema na mfungo imara wa ramadhani.
Inshallah tusonge mbele
Kwa kuongezea kwa MSISITIZO, angazia hasara iliyotokana na ukopeshaji wa SACCOS. Na hapa angazia saccos ambazo kuna wafanyakazi ambao walifanya hila kuanzishwa kwake na baadae kukopeshwa na sasa hawakulipa.
Hapa nasisitiza na mkitaka ushahidi utaletwa mezani kwako Ndg Mshomba.
Meneja wa Temeke alishiriki kuanzisha SACCOS huko Tanga, kwa kuwa alikua compliance officer aliweza kuhakikisha mkopo ule unapatikana na yeye kujitwalia 46m, na alikuwa ni mjumbe wa kamati ya mikopo ktk hyo SACCOS FEKI na pia mtia saini.Hili limekuwa reported kwa management ilopita kua huyu ali engineer kutengeneza saccos feki na kujitwalia mkopo yeye na mkewe ambapo mwisho wa siku saccos haikuweza kufanya marejesho lakini kwa kuwa teuzi zilikua zikifanyika kwa.
1.kujuana
2.kikabila
Basi alipigiwa debe hadi kuwa meneja Hapo Temeke.
Huyu bwana tangu aajiriwe hajawahi kuacha kula Rushwa na hadi sasa hawezi kuacha.
Ukifuatilia kwa undani utapata historia yake na makandokando yake.
Baada ya hapo mchunguze na wa Kinondoni, kilimanjaro, Na pia angazia uhalali wa Meneja wa Mkoa wa Kahama na Geita.
 
Risiti ni swala technical maana zinatoka kwenye system.

Syo swala la kuwaachia wafanyakazi wa nssf pekee bali hata jibu kua risiti hazionekani labda linatokana na stress walizonazo kutokana uongozi mbovu uliokuwepo.
Morali ya kazi ilishuka sana ndo maana majibu unapata sii mazuri
Hoja dhaifu hii mkuu
 
Mnavyoandika humu roho inauma manake wengine mafao kila siku kalenda zinapigwa huku viongozi wakijichukulia ela njenje
Ee Mungu uwalipe hawa wezi sawasawa na wizi wao!
 
Risiti ni swala technical maana zinatoka kwenye system.

Syo swala la kuwaachia wafanyakazi wa nssf pekee bali hata jibu kua risiti hazionekani labda linatokana na stress walizonazo kutokana uongozi mbovu uliokuwepo.
Morali ya kazi ilishuka sana ndo maana majibu unapata sii mazuri
Hoja dhaifu hii mkuu
 
Yaani inachefua kuona madudu haya, hata kigogo umeyaona????
Sasa mshomba anza kazi, usichafuke hata kidogo, tuko nyuma yako kukusaidia, ila ukitaka ufanikiwe kama wenzangu walivyokwisha sema, fyekelea mbali masalia ya ppf, yaliyoko makao makuu, na mameneja wa mikoa ya dar ambako ndiko kunakokusanya 90% ya michango.
Kuna mameneja ambao hawaendi kukusanya michango kazi yao ni kukaa ofisini na kula rushwa toka kwa wanachama kama wenzangu waliotangulia walivyosema.
Nasisitiza tena.
Meneja wa kinondoni na Temeke hao ni wala rushwa namba moja.Ushahidi upo tutakuletea kama ukihitaji.
Hao mameneja plus watu wao waliowaweka compliance na benefit wahame wote.
Bila kupepesa macho wa mbezi beach aondoke, benefit temeke ondoa watu sita majina ntakutumia inbox, makao makuu ondoa kule sheria, HR na uhasibu pia mameneja wote wa Audit, naamini utapata msaada mkubwa toka kwa wizara.
Jenga timu safi ya nssf.

NB
Katika mameneja wa dar, anza na wa Temeke maana ni masalia ya erio aliwaasi wenzao wa nssf na mchawi alobobea.
Mrudishe tikeba kuwa DF na Chiku THABITI kuwa CA
Nawatakieni jumamosi njema na mfungo imara wa ramadhani.
Inshallah tusonge mbele
Wewe unaonekana kabisa una chuki binafsi.

Kwanini unataka DF wa sasa pamoja na CA (Mukasa) wake watumbuliwe?

Na kwanini unawapigia chepuo hao waliotumbuliwa na Bw. Erio kuwa warudishwe!? Kwa kazi gani nzuri ambayo wamefanya kwenye kipindi chao!?
 
Kwa kuongezea kwa MSISITIZO, angazia hasara iliyotokana na ukopeshaji wa SACCOS. Na hapa angazia saccos ambazo kuna wafanyakazi ambao walifanya hila kuanzishwa kwake na baadae kukopeshwa na sasa hawakulipa.
Hapa nasisitiza na mkitaka ushahidi utaletwa mezani kwako Ndg Mshomba.
Meneja wa Temeke alishiriki kuanzisha SACCOS huko Tanga, kwa kuwa alikua compliance officer aliweza kuhakikisha mkopo ule unapatikana na yeye kujitwalia 46m, na alikuwa ni mjumbe wa kamati ya mikopo ktk hyo SACCOS FEKI na pia mtia saini.Hili limekuwa reported kwa management ilopita kua huyu ali engineer kutengeneza saccos feki na kujitwalia mkopo yeye na mkewe ambapo mwisho wa siku saccos haikuweza kufanya marejesho lakini kwa kuwa teuzi zilikua zikifanyika kwa.
1.kujuana
2.kikabila
Basi alipigiwa debe hadi kuwa meneja Hapo Temeke.
Huyu bwana tangu aajiriwe hajawahi kuacha kula Rushwa na hadi sasa hawezi kuacha.
Ukifuatilia kwa undani utapata historia yake na makandokando yake.
Baada ya hapo mchunguze na wa Kinondoni, kilimanjaro, Na pia angazia uhalali wa Meneja wa Mkoa wa Kahama na Geita.
Hizo Saccos zilikuwepo tangu kipindi cha Bw. Dau, Kahyalala na Erio.

Madudu yote ya Saccos yalifanywa na watangulizi wa aliyekuwa DG ndugu Erio

Hivyo sio sawa kumhukumu Bw. Erio kuwa amehusika na uozo uliofanywa kwenye Saccos.
 
Mpumbavu hawezi kubadilika.
Mwache abaki hivyohivyo.
Na navyoandika hivi sasa wameenda morogoro kujifungia kupika majungu na kula hela za bure(per diems)
Wanakula za mwisho mwisho.
Hahaaaaaa sjui Erio yuko wapi na hali yake ikoje na kikono chake

Hapo kwenye “kikono chake” umevuka mipaka ya uungwana mpendwa.

Yale ni maumbile ya kuzaliwa au maradhi ya utotoni.

Sio utashi wake na yaweza mpata mtu yoyote.
 
Hata roho mbaya nayo ni maumbile ya mtu,
Mtu yeyote anaweza kua nayo ila muungwana hawezi kuwa na roho mbaya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom