Kwako Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

Status
Not open for further replies.

celinawetu

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,304
2,000
Hizo Saccos zilikuwepo tangu kipindi cha Bw. Dau, Kahyalala na Erio.

Madudu yote ya Saccos yalifanywa na watangulizi wa aliyekuwa DG ndugu Erio

Hivyo sio sawa kumhukumu Bw. Erio kuwa amehusika na uozo uliofanywa kwenye Saccos.
Ukisoma vema taaaatiiiiibu utaelewa.
Hakuna mtu amemhusisha erio na saccos, bali erio hakumchukulia hatua aliyetengeneza saccos feki na kujitwalia pesa na erio kwa kujua mtu huyo ana makandokando hakujali na kumpa umeneja.Mtu ambaye ameweza kutengeneza kitu feki ili apate pesa ukimpa umeneja unategemea nini mpendwa wangu
 
laptop90

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,180

Huyo sjui kala mahagwe ya wapi hajui kusoma sijui hajui kuelewa sijui
 
Nowonmai

JF-Expert Member
Jan 15, 2019
661
1,000
Hata roho mbaya nayo ni maumbile ya mtu,
Mtu yeyote anaweza kua nayo ila muungwana hawezi kuwa na roho mbaya

Asante.

Lakini roho mbaya ni utashi wa mtu. Sio kasoro ya kurithi wala matokeo ya kuugua,tofauti na kupooza kwa misuli kama ilivyo kwa mkono mmoja wa ndugu William Erio.
 
laptop90

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,180
2,000
Huyo sjui kala mahagwe ya wapi hajui kusoma sijui hajui kuelewa sijui
Yaani kaunda feki, kakopesha watu feki yeye na mkewe wakavuta 90m halafu mkewe katimka nazo zote,
Karma ni hapahapa duniani.
Sasa tunamsubiri mshomba akabidhiwe ripoti ndo atajua mbivu na mbichi
 
MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
294
500
Dau ndo alitaka kulizika shirika, ile miradi ilikua ya hovyo RRI ilikua -3, yeye ali invest kwenye long term investments hasa majumba na viwanja ambavyo bei ya ununuzi ilikua as much as 10 times the prevailing market value na hii iko ktk ripoti za CAG zilizopita.
Huku kwenye long term ndo kuna 10%, hadi akajijengea uwanja nyumbani kwake,
Mbali na udini alikua mwivi sana.

~Enzi za Dau Wakristo walikua 65%
~Waislam 35%
~Nssf ilikua na mtaji mara 4 ya vipindi vyte
~Mafao yalikua yanalipwa kwa wakati
~Miradi ya nje ilikua haiathiri mtaji wa uendeshaji
~Top Senior wa Idara wengi walikua wakristo.
Hakuna DG mpaka sasa aliefikia hata nusu ya Dau ktk uendeshaji wa Faid
 
adobe

JF-Expert Member
May 6, 2009
2,349
2,000
Wewe unaonekana kabisa una chuki binafsi.

Kwanini unataka DF wa sasa pamoja na CA (Mukasa) wake watumbuliwe?

Na kwanini unawapigia chepuo hao waliotumbuliwa na Bw. Erio kuwa warudishwe!? Kwa kazi gani nzuri ambayo wamefanya kwenye kipindi chao!?
Ukuaji wa shirika ulifanywa na hao walioondolewa na Erio,mpaka sasa hakuna kipya alichokifanya erio zaidi ya kupunguza malengo ya makusanyo 2018/19 toka 1.1t alizoazimia kahyarara hadi 760b ili aonekane amefanya vizuri.
Huyo CA NA DF ni vila.za wameshindwa kufunga hesabu hadi kuita consultant kitu ambacho kabla ya Erio kilifanywa na staff wa ndani
 
adobe

JF-Expert Member
May 6, 2009
2,349
2,000
~Enzi za Dau Wakristo walikua 65%
~Waislam 35%
~Nssf ilikua na mtaji mara 4 ya vipindi vyte
~Mafao yalikua yanalipwa kwa wakati
~Miradi ya nje ilikua haiathiri mtaji wa uendeshaji
~Top Senior wa Idara wengi walikua wakristo.
Hakuna DG mpaka sasa aliefikia hata nusu ya Dau ktk uendeshaji wa Faid
We acha uongo Enzi za Dau udini ulishamiri, ajira zote alizofanya 2005-2014 waislam ni 98%
 
laptop90

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,180
2,000
Hizo Saccos zilikuwepo tangu kipindi cha Bw. Dau, Kahyalala na Erio.

Madudu yote ya Saccos yalifanywa na watangulizi wa aliyekuwa DG ndugu Erio

Hivyo sio sawa kumhukumu Bw. Erio kuwa amehusika na uozo uliofanywa kwenye Saccos.
Saccos zilikuwepo maana enzi hizo zilikua na za ujanja ujanja, na huyo meneja bila kupepesa macho ni mwizi,mla rushwa na mwenye kutumikia umeneja zaidi ya mungu
 
Ngisibara

JF-Expert Member
Jan 2, 2009
3,091
2,000
Rushwa ipo Sana katika kulipa MAFAO..

Wengine wanalipwa ndani ya miezi 8 ...na wengine ndani ya wiki 2. Ina maana Kuna mafaili ya watu wengine yanasogezwa Pembeni

Omba Special Audit ya CAG hapo utaweza kugundua wizi na kuwahamisha huyo finance na It

NSSF imeoza Sana

Na wafanyakazi wanakauli chafu Sana, kwa wanaodai mafao

Msihofu ....ntamrudisha Irene
 
laptop90

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,180
2,000
Na huyo meneja baada ya kufika Temeke ameunda mtandao wake wa kula Rushwa kunazia kwa Amina Mkorehe, Aisha makuberi na wengine ambao amewapangia majukumu ya kupitisha maombi ya malipo ya wanachama.
Ndugu Mshomba akishavuta mpunga wanagawana na kina SASSI
Wanatakiwa wazitapike hizo hela.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom