njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,664
Dah! Hongereni kwa kufika makundi, imepatikana nafasi ya kujipanga na kukaa sawa ila ndugu zangu kweli mmeridhika kwamba nafasi ya kiungo mkabaji iko sawa kabisa?
Putin Kanoute anajitahidi ila kwenye mechi kubwa za presha yule ni straight red card anytime, halafu ni mtu wa majeraha sana. Haya vipi siku Moses Phiri akaumia, akaumwa au akafiwa? Hamuoni haja ya kuleta mshambuliaji mwingine?
Tunahitaji beki anayeweza kucheza namba 2 na namba 3, ndiyo yaani awe anatumia miguu yote, nafasi ya Dejan ipo wazi, achaneni na Akpan na Outarra.
Habari za kuleta kiungo mshambuliaji wa nini sasa? Rudisheni Dilunga, au ni Adebayor asiye na namba Berkane? Sasa si hasara, si kasajiliwa CAF na berkane hatatumika na Simba? Au ni Konde Boy? Hapo uongo hakuna hela ya kumlipa mshahara wake au ni Bwalya asiye na namba amazulu? hovyo kabisa!
Kama mna hamu sana na kiungo mshambuliaji, basi tafuteni mwenye uwezo wa kucheza pia kama kiungo mkabaji awe hodari.