Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,658
Madam, kuna wanawake wengi wanakutazama kama “role model”. Ila unanikwaza sana unapokwepa kutamka kwamba ulipata ujauzito ulipokua na miaka 14....Please be bold & say it....ili hata wanaopata mimba ya utoto wajue kwamba huo sio mwisho wa ndoto zao....Nimeona interview yako kwenye TV ila unadai “you were 14 with a mind of a 40 year old”....Asiefahamu hawezi kutambua matatizo uliyopata....Embu weka wazi...wewe ni inspiration kwa watu wengi hapa Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na yeye wote ni wapuuzi tu, unawezaje kuwa na miaka 14 then akili ya mtu wa miaka 40? Ukifanya cross multiplication: kwa sababu ana miaka 47 sasa inakuwa: (47 x 40) / 14 = 134 kwa hiyo sasa hivi ana akilia ya mtu wa miaka 134, the facts kwamba hakuna mtu mwenye akili ya umri wa mtu wa miaka 134 aliye hai kwa sababu hiyo ana akili ya marehemu.