eliasmushi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 430
- 111
Utekelezaji wa maendeleo lazima mbunge na serikali washirikiane na kuskilizana,serikali ya ccm ndio inayokusanya kodi zetu.so sababu mbunge ni wa upande wa upinzani mnabana aonekane hafanyi kitu ili mshinde uchaguz ujao!?ntalipigia kura hata jiwe na cyo nyie.Acha kuongea usichojua...
Kama sio kazi yake ilikuwaje akasimama jukwaani kuomba kura na kuaidi vitu ambavyo hawezi kuvifanya? ?? Huu sio utapeli?
Kama alijua hakusanyi kodi kwanini aliwaahidi wananchi kuwa atawajengea Hospitali?[/QUOTE
Arusha tunaakili timamu na tunaona mchezo woote.endeleen kumbania aonekane hafanyi kitu ili mshinde uchaguz ujao.
Mungi tafadhali, usirudie tena kutudanganya kuwa LEMA ndio amejenga barabara Arusha.
Utakuwa na hakiri kama zake, mji mchafu anawaambie mzoe taka mkajimwage kwa mkuu wa mkoa! Hakiri povu.
LEMA zile machinga complex ziko wapi? vijana wa Arusha waliokusapoti kwa hali na mali ndio wanagundua sasa kuwa uliwauza! hakuna cha mikopo wala Machinga complex!
LEMA zile machinga complex ziko wapi? vijana wa Arusha waliokusapoti kwa hali na mali ndio wanagundua sasa kuwa uliwauza! hakuna cha mikopo wala Machinga complex!
Sasa ndio umeandika nn!!!
Hata kama Lema akishindwa kufanya makubwa Arusha lakini impact yake kitaifa inatufanya tushukuru watu wa Arusha kwa kufikiria zaidi ya Arusha.
Lema wewe ni mpiganaji haswa tupo pamoja.
Machinga complex itajengwa mipango yote yanatekelezwa kwa udi na uvumba
Godbless J Lema tunakuamini Kamanda.
Kila mahali inapotawala CDM mizengwe na vikwazo lazima viwekwe kidumukidumu chama cha visasi
Akili zenu zimelala nyie. Huyo lema ni mLEMAvu wa akili. Hata jina lake ni kifupi cha uLEMAvu wake. Labda akifanikiwa kuuza zile kg599 za heroin anaweza kuwajengea complex la kisukuma sio machinga. Mnamsifu kilaza. Wana mpango wa kuuza nchi nyie mnashangilia tu. Poleni.
Na zile za Kikwete za kila mkoa na kila wilaya vipi zipo tayari?
Basi kama nyie mnaojiita wakombozi wa wananchi mnamuiga kikwete tena, nini tofauti yenu? kwanini tuwachague?Mulizeni JK, ile meli aliyoahidi Bukoba iko wapi?
Je zile Machinga complex za kila mji ziko wapi?
Maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi?