mimi huwa napiga kura...nalipa kodi...
it is enough kwa kuchangia mabadiliko,sio?
The Boss sikia, hii issue ni muhimu,
Kodi unayoilipia, wenzako wanatudhulumu,
Kodi inatokea kwenye bia,mwisho itatokea kwenye ndumu,
Hii nchi bana, yaani we acha tu.
Hivi ni kwanini, kiuchumi tuteseke,
Yaani mpaka lini, maishani tusote,
Mbona hatuwini, Nchi yetu sote,
Hii nchi yaani, kweli acha tu.
Madini tumejaaliwa, Mito mpaka Bahari
Ongeza na Maziwa, Mbuga nazo ni Mali,
Siasa tunaimbiwa, Ufisadi umekua ufahari,
Hii nchi kwa kweli, mbona vingi vioja??