Kwako Greson MSIGWA Wajibu wa Serikali ni Kutoa Ukweli na Siyo Malalamiko

uhuruborn

Member
Joined
Sep 6, 2025
Posts
81
Reaction score
304
Tulitarajia kuona Serikali ikitoa ushahidi wa kina hasa picha za satelaiti 🛰️, vielelezo vya kitaalamu, na maelezo ya kiuchunguzi ili kuonesha kwamba madai ya mauaji yaliyotolewa na CNN, BBC, Al Jazeera hayahusiani na Tanzania bali na maeneo mengine kama Sudan. Lakini badala yake, tunachokiona ni malalamiko dhidi ya CNN, BBC, Al Jazeera 😤 bila kuwasilisha ushahidi wa kupinga ushahidi uliotolewa.

Je, Serikali inajielewa? 🤔

Ushahidi Unapingwa kwa Ushahidi, Siyo Malalamiko 📄⚖️

Leo tulitegemea Serikali iite waandishi wa habari, iweke mezani ushahidi wa kimantiki na kisayansi kupinga ripoti za CNN, BBC na Al Jazeera. Tulitarajia kuona ramani, muda, tarehe, na taarifa zilizoakisi picha hizo za satelaiti. Lakini kilichowasilishwa ni maelezo mepesi na kejeli 😒, yasiyo na uzito unaotakiwa katika suala linalogusa uhai wa raia.

Ikiwa Serikali inadai kwamba picha hizo si za Tanzania, ingeonyesha:
  • Zilitoka mwaka gani? 📆
  • Zilirekodi tukio gani?
  • Zilitokana na vita gani? ⚔️
  • Kwa nini zinahusishwa kimakosa na tukio la sasa?
Lakini badala ya hoja, tumepokea lawama na maneno ya jumla 😑.

Kanuni za Haki za Kiasili: Kwa Nani Zinatumika? ⚖️
Serikali inadai CNN, BBC na Al Jazeera zilipaswa kuisikia kabla ya kuchapisha ripoti yake. Hilo ni sawa kwa mujibu wa “principles of natural justice”.
Lakini hoja hapa ni hii:
  • Kwa nini Serikali yenyewe haikuwasikiliza waandamanaji kabla ya kuanza kuwapiga risasi? 🔫
  • Kwa nini risasi za kichwani, mgongoni, na kiunoni?
  • Je, kanuni hizo hizo za haki za kiasili hazikutakiwa kuwalinda wananchi? 😡
Kabla ya kuzilalamikia CNN, BBC na Al Jazeera Serikali lazima ijibu swali hili muhimu:
Kwa nini iliua badala ya kusikiliza? 🤷‍♂️

CNN imehoji mashahidi ambao ni watanzania kwani Serikali Inahojiwa nayo? 🗣️

CNN inasema bayana kuwa imekusanya ushahidi kutoka vyanzo vyao wenyewe, si wa kupachikwa. Wamekwenda Arusha na kuzungumza na familia ya mama aliyepigwa risasi mgongoni wakati akikimbia kujiokoa. Wamefanya mahojiano na zaidi ya watu 100 waathirika, mashuhuda, na familia za waliouawa 👥.

Serikali nayo imekuja na nini?
Porojo na ukinzani wa maneno 😕, bila ushahidi wa kupinga hoja hizo za CNN, BBC na Al Jazeera.

Serikali Inakiri Mauaji, Lakini Haijui Idadi ya Waliouawa? ❓
Ni ukweli kwamba Serikali imethibitisha kuwa mauaji yametokea. Lakini haijasema:
  • Ni watu wangapi waliopoteza maisha? 💔
  • Miili mingapi imekabidhiwa kwa ndugu zao? ⚰️
  • Ni hatua gani za kisheria zimechukuliwa dhidi ya walioua? 👮‍♂️
Maswali haya yanapewa majibu ya kukwepa, huku tukielekezwa tusubiri Tume maalumu kutoa takwimu miezi kadhaa baadaye ⏳.
Je, Serikali haina data za leo?
Je, haijui idadi ya wananchi wake waliokufa ndani ya mipaka yake?

Makaburi ya Halaiki: Kimya Cha Serikali Kinaumiza ⚰️🕯️
CNN
imetoa ushahidi wa uwezekano wa kuwepo kwa makaburi ya halaiki kupitia picha za satelaiti 🛰️.
Hili ni suala zito lenye athari ya kimataifa.
Lakini msemaji wa Serikali hakuligusia kabisa 😶.
Badala yake ametoa maelezo yenye lengo la kuhalalisha ukimya 🤐.

Je, hili ndilo jibu la Serikali kwa tuhuma nzito kiasi hicho?

Kuhusu Picha za Simu: Hoja Iliyokosa Msingi 📱❌

Serikali inasema kwamba Larry Madowo hakuwa Tanzania wakati mauaji yanatokea, na kwamba CNN imetumia picha za simu.

Lakini swali la msingi ni:

Je, ukweli wa mauaji unabadilika kwa sababu picha zimepigwa kwa simu?
Tukio halibadiliki kwa sababu kamera si ya gharama kubwa 📸.

Hitimisho: Tunataka Majibu, Siyo Malalamiko ✊
Serikali haitakiwi kupambana na CNN, BBC na Al Jazeera inapaswa kupambana na ukweli ✅.
Raia wanataka:
  • Idadi kamili ya waliokufa 💔
  • Ushahidi wa kupinga au kuthibitisha tuhuma za makaburi ya halaiki ⚰️
  • Hatua za kisheria dhidi ya waliohusika 👮‍♀️
  • Taarifa za uwazi, si siasa 📰
Kila siku Serikali inasema:
AMANI
kwanza, HAKI baadaye.

Ila leo Msemaji wa Serikali inazilaumu CNN, BBC na Al Jazeera kwa kutoitendea HAKI Tanzania kwa Ripoti zake na Sio kutoitendea AMANI Tanzania 🤣 🤣 🤣

Lakini sasa, WATU wamekufa 😢.
Hivyo, swali lina baki:

Amani gani bila Haki? 🤔
 
The dude is very stupid, badala ya kuwafafanulia wale waandishi uchwara wa kupanga ambao walienda na vimaswali irrelevant kwamba CNN walisema ABC lakini hawakuwa sahihi bali ukweli ni DEF. That's how it's done, unatoa ukweli wako to challenge them. Hata wale waandishi wa mchongo hakuna aliyemuuliza kati ya yaliyorushwa na CNN je yote yalikuwa ni ya uongo au uongo ulikuwa upi na ukweli kama ulikuwepo ulikuwa upi? Then tunaweka mizania.
 
Majibu yaliyotolewa yanathibitisha kuwa, serikali hii ina wadharau wenye nchi yao.
 
The dude is very stupid, badala ya kuwafafanulia wale waandishi uchwara wa kupanga ambao walienda na vimaswali irrelevant kwamba CNN walisema ABC lakini hawakuwa sahihi bali ukweli ni DEF. That's how it's done, unatoa ukweli wako to challenge them. Hata wale waandishi wa mchongo hakuna aliyemuuliza kati ya yaliyorushwa na CNN je yote yalikuwa ni ya uongo au uongo ulikuwa upi na ukweli kama ulikuwepo ulikuwa upi? Then tunaweka mizania.
ni lipumbavu sana nawaonea huruma wanawe wanashuhudia upumbavu wa baba yao wazi wazi
 
Tulitarajia kuona Serikali ikitoa ushahidi wa kina hasa picha za satelaiti 🛰️, vielelezo vya kitaalamu, na maelezo ya kiuchunguzi ili kuonesha kwamba madai ya mauaji yaliyotolewa na CNN, BBC, Al Jazeera hayahusiani na Tanzania bali na maeneo mengine kama Sudan. Lakini badala yake, tunachokiona ni malalamiko dhidi ya CNN, BBC, Al Jazeera 😤 bila kuwasilisha ushahidi wa kupinga ushahidi uliotolewa.

Je, Serikali inajielewa? 🤔

Ushahidi Unapingwa kwa Ushahidi, Siyo Malalamiko 📄⚖️

Leo tulitegemea Serikali iite waandishi wa habari, iweke mezani ushahidi wa kimantiki na kisayansi kupinga ripoti za CNN, BBC na Al Jazeera. Tulitarajia kuona ramani, muda, tarehe, na taarifa zilizoakisi picha hizo za satelaiti. Lakini kilichowasilishwa ni maelezo mepesi na kejeli 😒, yasiyo na uzito unaotakiwa katika suala linalogusa uhai wa raia.

Ikiwa Serikali inadai kwamba picha hizo si za Tanzania, ingeonyesha:
  • Zilitoka mwaka gani? 📆
  • Zilirekodi tukio gani?
  • Zilitokana na vita gani? ⚔️
  • Kwa nini zinahusishwa kimakosa na tukio la sasa?
Lakini badala ya hoja, tumepokea lawama na maneno ya jumla 😑.

Kanuni za Haki za Kiasili: Kwa Nani Zinatumika? ⚖️
Serikali inadai CNN, BBC na Al Jazeera zilipaswa kuisikia kabla ya kuchapisha ripoti yake. Hilo ni sawa kwa mujibu wa “principles of natural justice”.
Lakini hoja hapa ni hii:
  • Kwa nini Serikali yenyewe haikuwasikiliza waandamanaji kabla ya kuanza kuwapiga risasi? 🔫
  • Kwa nini risasi za kichwani, mgongoni, na kiunoni?
  • Je, kanuni hizo hizo za haki za kiasili hazikutakiwa kuwalinda wananchi? 😡
Kabla ya kuzilalamikia CNN, BBC na Al Jazeera Serikali lazima ijibu swali hili muhimu:
Kwa nini iliua badala ya kusikiliza? 🤷‍♂️

CNN imehoji mashahidi ambao ni watanzania kwani Serikali Inahojiwa nayo? 🗣️

CNN inasema bayana kuwa imekusanya ushahidi kutoka vyanzo vyao wenyewe, si wa kupachikwa. Wamekwenda Arusha na kuzungumza na familia ya mama aliyepigwa risasi mgongoni wakati akikimbia kujiokoa. Wamefanya mahojiano na zaidi ya watu 100 waathirika, mashuhuda, na familia za waliouawa 👥.

Serikali nayo imekuja na nini?
Porojo na ukinzani wa maneno 😕, bila ushahidi wa kupinga hoja hizo za CNN, BBC na Al Jazeera.

Serikali Inakiri Mauaji, Lakini Haijui Idadi ya Waliouawa? ❓
Ni ukweli kwamba Serikali imethibitisha kuwa mauaji yametokea. Lakini haijasema:
  • Ni watu wangapi waliopoteza maisha? 💔
  • Miili mingapi imekabidhiwa kwa ndugu zao? ⚰️
  • Ni hatua gani za kisheria zimechukuliwa dhidi ya walioua? 👮‍♂️
Maswali haya yanapewa majibu ya kukwepa, huku tukielekezwa tusubiri Tume maalumu kutoa takwimu miezi kadhaa baadaye ⏳.
Je, Serikali haina data za leo?
Je, haijui idadi ya wananchi wake waliokufa ndani ya mipaka yake?

Makaburi ya Halaiki: Kimya Cha Serikali Kinaumiza ⚰️🕯️
CNN
imetoa ushahidi wa uwezekano wa kuwepo kwa makaburi ya halaiki kupitia picha za satelaiti 🛰️.
Hili ni suala zito lenye athari ya kimataifa.
Lakini msemaji wa Serikali hakuligusia kabisa 😶.
Badala yake ametoa maelezo yenye lengo la kuhalalisha ukimya 🤐.

Je, hili ndilo jibu la Serikali kwa tuhuma nzito kiasi hicho?

Kuhusu Picha za Simu: Hoja Iliyokosa Msingi 📱❌

Serikali inasema kwamba Larry Madowo hakuwa Tanzania wakati mauaji yanatokea, na kwamba CNN imetumia picha za simu.

Lakini swali la msingi ni:

Je, ukweli wa mauaji unabadilika kwa sababu picha zimepigwa kwa simu?
Tukio halibadiliki kwa sababu kamera si ya gharama kubwa 📸.

Hitimisho: Tunataka Majibu, Siyo Malalamiko ✊
Serikali haitakiwi kupambana na CNN, BBC na Al Jazeera inapaswa kupambana na ukweli ✅.
Raia wanataka:
  • Idadi kamili ya waliokufa 💔
  • Ushahidi wa kupinga au kuthibitisha tuhuma za makaburi ya halaiki ⚰️
  • Hatua za kisheria dhidi ya waliohusika 👮‍♀️
  • Taarifa za uwazi, si siasa 📰
Kila siku Serikali inasema:
AMANI
kwanza, HAKI baadaye.

Ila leo Msemaji wa Serikali inazilaumu CNN, BBC na Al Jazeera kwa kutoitendea HAKI Tanzania kwa Ripoti zake na Sio kutoitendea AMANI Tanzania 🤣 🤣 🤣

Lakini sasa, WATU wamekufa 😢.
Hivyo, swali lina baki:

Amani gani bila Haki? 🤔
Wamesema wanaendelea na uchunguzi wa ripoti hiyo ya CNN
 
walidhani mambo yataishia gizani
 
Ndugu mleta mada unataka kumaanisha kuwa huu ni wakati wa t.b.ccm kuitetea serikali?
Wale hawataweza kamwe kufanya vitu kwa kutumia akili, wanachoweza wao ni kuimba mapambio tu.
 
Yangekuwepo maduka yanayouza akili, tungemshauri mazafaka akanunue hata za mtumba zingemfaa!
 
Bado wanapitia madokezo mbali mbali yanayoletwa na kitengo cha uongo na propaganda. Wakishapata dokezo lenye uafadhali wataita press au kutoa majibu kwenye mikutano.
Maana katika uongo ulioniacha hoi ni ule wa kusema 97% ya kura ilipatikana kutokana na vituo vya kupiga kura kuwa vingi. Wakati sisi tuliopo field tuliona kwa macho yetu jinsi manipulation na wizi wa kura ulivyofanyika.
Kingine Serikali inatakiwa kujua kuwa baadhi ya Polisi, usalama na wanajeshi ni ndugu zetu. Yote yaliyotokea wanatusimulia na wao wenyewe wanahuzunika. Ndio maana binafsi taarifa ya CNN nakubaliana nayo 100%.
 
Badala ya kuteua watu wenye akili unateua kiazi haya ndio madhara yake
 
Ndugu zangu wapi nipeleke kuku wangu wakapatiwe chanjo?
Maana hii ilikuwa sera ya mama.
 
Back
Top Bottom