Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,117
- 9,289
si yupo humu?
Hahahah chezea njaa weye. Daktari anaganga njaa tu sio mpiganaji kama ambavyo hujaribu kujipambanua.Wanabidi,
Dr Kigwangalla amekuwa mstari Wa mbele katika kupinga ufisadi akianzia kudai mikataba ya Madini, kuwatetea madaktari wenzake. Leo kajificha wapi haonekani kupinga madudu haya ya serikali na wala hatukuona jina lake katika sole saini 70 zilizotakiwa na Zitto. Je ni kweli Ana uchungu na nchi hii au ni dramas?
Nilidhani na yeye amekerwa na ufisadi wa wizara kumbe hovyoooooo!!!!!!
Sikuhizi ameikimbia jf, yupo tanuru ya Africa
si aje ajibu!
Kule Magamba sio wote wachafu naamini kuna baadhi Yao at least wanaweza kuwa na moyo wa kizalendo.
si yupo humu?
Kujibu si kuongea tu vile vile. Kuongea kwenye majukwaa na kutenda vitu viwili tofauti.
Hivi Kigwangala hajaiona hii thread?
Ngoja nim-PM nimpe na link aje kwenye uzi huu kama ni "mpambanaji".
Huenda ana sababu ya maana.
Ukitaka kum-PM, click ID yake options zitakuja then endelea.
Inaonekana Mkuu patriq mmesahau historia ya Mhe Kigwangwallah, kwa ufupi kule Nzega huyu Bwana alikuwa na SACOS ya mama First Lady na akawa supported kukopa Tshs 2,000,000,000/=( my brother two billion loan) from a state bank, unategemea ataweza kutake sides likija swala la saini?????Hawezi kufurukuta ndege mjajanja huepusha bawa lake!!!! Kwa maana nyingi yeye ananufaika na huu mfumo wizi!!!!!Kwani kigwangallah hamku stuka mapema? Alikuwa anapiga kelele ili apate chochote pale kwenye mgodi. Si lolote si chochote ni mmoja ya wachumia tumbo na familia yake tu. Nimeanza kuhisi bora hata bashe.
Wanabidi,
Dr Kigwangalla amekuwa mstari Wa mbele katika kupinga ufisadi akianzia kudai mikataba ya Madini, kuwatetea madaktari wenzake. Leo kajificha wapi haonekani kupinga madudu haya ya serikali na wala hatukuona jina lake katika sole saini 70 zilizotakiwa na Zitto. Je ni kweli Ana uchungu na nchi hii au ni dramas?
Tumeshajua ni aina gani yaya mtu Kigwangala is, Thanx to Zitto.Yaani Dr. Kigwangala naye ameikimbia JF? Huwa jamaa anakuj humu na kujibu hoja mbalimbali lakini hii naona imemshika pabaya ndio maana hajajitokeza hapa madhabahuni