bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 798
Habari wana jamvi?
Kwanza nikupe pongezi kwa wadhifa mpya ambao umepatiwa kwa kuteuliwa nao kutoka kwa Rais JPM.
Itoshe kusema tu,wewe umekua chachu ya mambo mengi katika kusimamia uweledi na kujitituma katika tasnia ya mawasiliano ya habari,anzia kipindi ukiwa mtangazaji mpka ulipopata nafasi ya kua muhadhiri katika chuo kikuu cha dar es salaam.
Nafasi hizi ni nafasi nyeti sana na pengine mtu anaepewa nafasi za juu kabisa kama yako huenda amebebwa na utendaji wake ama kujipendekeza kumembeba.Mimi ninaiman kabisa kua "uyendaji wako umekubeba" kwamaana hata makala zako unazoandika hua zinalenga kuifunza serikali katika juu ya kuhakikisha maisha ya wananchi yanaboreka.
Kaka yangu Ayoub
Naomba sana usisahau kama wewe ni mpigania haki na mwanaharakati ambae ulijitolea kupitia kalamu na taaluma yako kuelimisha umma wa watanzania lakini pia kuielekeza serikali. Itoshe kusema tu kua,cheo ni dhamana na chei ulichokipata chondechonde timiza majukumu yako yakitaaluma kwa kutokua mrengo wa chama tawala na badala yake chombo kiendeshwe katika misingi tmya kitaaluma yaani bila kuchagua..
Yafanyie kazi haya yafuatayo
1.vipindi viwe na usawa wa kijamii bila kujali itikadi ya vyama.
2.matumizi yasio ya lazima yapunguze ili tuweze kuangalia bunge "live" na sio makonda akiongea na waanndamiz wa halmashauri.
3.taarifa za habari zizingatie sana maudhui ya habari kuu.. mf.kwakua kiongozi ni npinzan bas hata kama habar yake imegusa maslah ya jamii hairushwi na badala yake mnarusha habari ambayo haina maslahi kwa taifa.
NB
Kazi uliopata ni kubwa lakini Mungi akusimamie na inshaaalah uongozi usikuongoze bali uuongoze uongoze.
Naeasilisha