Sisi wananchi wa hali ya chini tulifarijika sana na maneno yako pale ulipotangaza kuwa, upo tayari kutusaidia japo kulipia pango la nyumba kwa miezi mitatu kwa wananchi wa hali ya chini 500.
Tunaona siku zinazidi kukatika na hatujapata mrejesho wowote kama msaada huo upo au laa. View attachment 1470224
Niliona kwenye Wasafi TV watangazaji wa Good Morning wakiongozwa na Zembwela,sina picha na kama huamini sikulazimishi sababu umechagua mwenyewe kutokuamini.
huyu jamaa amezoea uwongo, kubwa zaidi kila anapodanganya watu bado wanaamini, humu huletwa mada zake msg za big up kijana na kejeli kwa Kiba hujaa. πππ
Mbona Ali Kiba nae aliahidi kuwalipa fidia wanaopisha ujenzi wa uwanja wake wa ndege kule shinyanga hadi leo haonekani na hawajui hatma ya maeneo yao walioyahama