Kwako dada mpenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwako dada mpenzi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MgonjwaUkimwi, Mar 17, 2012.

 1. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Hii nimekuta kwenye madaftari yangu ya jiogorafia shule ya msingi. Nakumbuka nilikula fimbo kwa kumsabahi mwalimu kwa maandishi nikiwa nimeketi huku wenzangu wamesima.

  Yahusu: ombi la mapenzi

  Kwako dada mpenzi, salamu nyingi sana. Baada ya salamu mimi sijambo sana hofu ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu.

  Nia na madhumuni ya barua hii ni kutaka uwe mpenzi wangu. Kwasababu kila nikinywa maji naona sura yako kwenye glass, nimekuwa nikikuota tangu tukiwa darasa la tano yaani silali kabisa.

  Duh, mpenzi nitashindwa kumalizia kuandika barua hii kwani yule ticha mnoko wa jiogorafia ndo anaingia darasani.......shikamoo mwalimu, asante.
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Zamaniiiiii lol
   
 3. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Duuh noma hapo mkuu, kamaticha alikushtukia lazima ule mboko.
   
 4. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  .
  Khaaa ! Ulikosa mademu wengine hadi ukaamua kumtokea your dada ?!
   
Loading...