Kwako Barbara Gonzalez; Mwijaku hatufai kuwa Muhamasishaji

Looooh, Sina Nia ya kumtetea mteuliwa au mteuaji, Ila nachotaka kusema Ni kwamba Nani Hana makandokando chini ya hii Dunia na awe wa Kwanza kumdiss Mwijaku, WOTE tuna makando Ila yanatofautina TU......mleta mada jipige kifuani Mara tatu na useme"HAKUNA MKAMILIFU CHINI YA JUA".
 
Unasoma kuondoa ujinga upi?

Mfano: katika maisha kutokujua kusonga ugali ni ujinga, na pia kutokujua viungo vya panzi kwa kiingereza ni ujinga.....

Sasa ujinga mnaosoma kuuondoa hua ni upi?

Isijekua hua mnateseka kuondoa ujinga usio na msaada kwenye maisha.
 

Ahsante.
 
Reactions: Tsh
ktk kitu imenikasirisha ni hii

followers wa simba kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ya page ya simba wanapata habari kirahisi sana.

hatuitaji binadamu wa kuropoka ropoka tena kwa sasa sisi ni vitendo tu.

simba ya sasa haiitaji vuvuzela ili kujaza uwanja au hata kama tumeruhusiwa mashabiki wasiozidi 15000 hao wanapatikana mapema tu.
 
N

Wacha majungu wewe!
 
Kaondolewa mwenye Asd... attention seeking disorder...

Anakuja mwenye chronic bipolar...


Kila mgonjwa wa akili Tanzania ni celeb...
Vituko wanavyofanya kwa sababu ya ugonjwa
Ndo tunaita 'mashamsham'...au "vipaji"..


Very sad

The way ume classify his shortcomings.....umetembea kwenye mstari.
 
Kwa ufupi nimesikitika sana baada ya kusikia Mwijaku kuwa muhamasishaji, simba ni next level sasa tunaanza kurudi kwenye level ya utopolo yaani tunarudi nyuma badala ya kumove on, kuna uazima gani wakuwa na wahamasishaji ? Huu ni uswahili bana tutoleeni takataka zenu
 
Mleta mada umedhihirisha kweli Tanzania tunaongoza kwa uchawi.
Yaani full wivu May be wewe ni zeruzeru Manara.
 
Kaondolewa mwenye Asd... attention seeking disorder...

Anakuja mwenye chronic bipolar...


Kila mgonjwa wa akili Tanzania ni celeb...
Vituko wanavyofanya kwa sababu ya ugonjwa
Ndo tunaita 'mashamsham'...au "vipaji"..


Very sad
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acheni fitnah....

Kama alipelekwa mahabusu hawezi kubadilika?!!!

Binafsi ni mwanachama wa Yanga ila mfuatiliaji mzuri na mpenda mafanikio ya kweli ya soka letu....

Tumuache ndg.Mwijaku awafanyie kazi watani wetu kwani Kama ana makandokando nina imani Simba wanayajua na bado wamemteua!

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…