Kwako Balozi Dkt. Wilbroad Peter Slaa

Mzee ana uchu wa madaraka. Laana inawatafuna pamoja na Lipumba wake
 
Tuelezeni kipi kinakuhangaisheni wakati Slaa kakuachieni cdm yenu, Mbowe alisema "huyu mzee Slaa tutakutana naye mbele kwa mbele", sijui alimaanisha nini! Slaa sasa anautaratibu wake kakuachieni utaratibu wenu wa kusafisha mafisadi na kuwapa nafasi nyeti, hata Nyerere alimshitukia Lowasa mamali yote alikuwa anaipata wapi? Ni kitu gani kinakufanyeni mhangaike na Slaa, kama kwenda chama chengine katumia haki yake ya katiba kama alivyosema Mbowe "hakuna uadui wa kudumu", barua loooote reeefuuu kama msululu wa siafu linahusu, mwacheni Slaa na maamuzi yake, mlianza wenyewe na bosi wenu Mbowe wa kudumu m/kiti milele!!!
 
MUNGU alipenda litokee hili kwa sababu first lady josephine naye ni changamoto....... maana alianzisha hadi group la watu aliosoma nao na kuwapa michongo hata u first hajapata
 
Politics is fun...

Maybe one day.
 
Dk hana ujanja kwa kaisiki,mama ananguvu kuliko huyo mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…