Kwako Balozi Dkt. Wilbroad Peter Slaa

Kwako Balozi Dkt. Wilbroad Peter Slaa

Tuelezeni kipi kinakuhangaisheni wakati Slaa kakuachieni cdm yenu, Mbowe alisema "huyu mzee Slaa tutakutana naye mbele kwa mbele", sijui alimaanisha nini! Slaa sasa anautaratibu wake kakuachieni utaratibu wenu wa kusafisha mafisadi na kuwapa nafasi nyeti, hata Nyerere alimshitukia Lowasa mamali yote alikuwa anaipata wapi? Ni kitu gani kinakufanyeni mhangaike na Slaa, kama kwenda chama chengine katumia haki yake ya katiba kama alivyosema Mbowe "hakuna uadui wa kudumu", barua loooote reeefuuu kama msululu wa siafu linahusu, mwacheni Slaa na maamuzi yake, mlianza wenyewe na bosi wenu Mbowe wa kudumu m/kiti milele!!!
 
Mwanahabari huru nimekusoma na kukuelewa,,lakini binafsi huwa simulaumu padri dr slaa,, bali lawama zote zimuendee aliyekuwa first lady mtarajiwa josephina mshumbusi kwa nguvu kubwa mno aliyoitumia kumnyamazisha mzee wa watu,, na hata kama ni mimi nisingekubali kupoteza papunchi tena ya mtoto mdogo wakati mimi mzee kwa sababu ya siasa,, jamani mtamlaumu bure slaa.
MUNGU alipenda litokee hili kwa sababu first lady josephine naye ni changamoto....... maana alianzisha hadi group la watu aliosoma nao na kuwapa michongo hata u first hajapata
 
Mwanahabari huru nimekusoma na kukuelewa,,lakini binafsi huwa simulaumu padri dr slaa,, bali lawama zote zimuendee aliyekuwa first lady mtarajiwa josephina mshumbusi kwa nguvu kubwa mno aliyoitumia kumnyamazisha mzee wa watu,, na hata kama ni mimi nisingekubali kupoteza papunchi tena ya mtoto mdogo wakati mimi mzee kwa sababu ya siasa,, jamani mtamlaumu bure slaa.
Dk hana ujanja kwa kaisiki,mama ananguvu kuliko huyo mzee
 
Back
Top Bottom