For the first time nimesikia ambayo hata momi niliyauliza na bado najiuliza kwa kujua uadilifu wa Dr. Slaa.
Nilimsifu aliposema atakuwa nje ya vyama vya siasa. Lakini sasa je yuko wapi?
Kweli siasa hasa hapa Tz haieleweki.
Ni kama vile hakuna hata moja kati ya wanasiasa tena aliye na sense ya ukweli na haki licha ya Hayati Mtukufu wetu Mwalimu K. Nyerere!!!!