Tupo ila link ndo mgogoro....
Tangu lini Preta ukaimba?...Hakyanani .Ukifanya show andaa hela za kuwarudishia watu.bora wewe link....mimi nipo nauimba hapa ila jina sasa ndio gogoro......
Tangu lini Preta ukaimba?...Hakyanani .Ukifanya show andaa hela za kuwarudishia watu.
Shida yako unadhani "HAKUNAGA" ndiyo kwaito!
hivi unaifahamu Kwaito au unaisikia..........?
mafiki zolo. Clik katika google iyo kitu
Tangu lini Preta ukaimba?...Hakyanani .Ukifanya show andaa hela za kuwarudishia watu.
Tangu lini Preta ukaimba?...Hakyanani .Ukifanya show andaa hela za kuwarudishia watu.
afadhali wewe......achana na huyu Pakajimmy......
haya huo sasa.......
Mafikizolo-ndihambanawe- [url]www.zimvibes.com - YouTube[/URL]
Kumbe tuko wengi nawakubali sana jamaa kwenye upande wa house wanajitahidi sana nina collection za kutosha za houseKijana tafuta Jina la wimbo unaoupenda, mimi sio mpenzi sana wa Kwaito, ila naweza kukusaidia kama unajina la huo wimbo nina collection kibao za Nyimbo za South Africa mpya na zamani. Ila mimi ni mpenzi wa House Music ya South Africa. Pata jina ni pm nitakutumia Kijana