Kwahiyo movie ya Escrow ndo imeisha hivyo!!?

TAWA

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,673
1,571
Salamu wanabodi,
Bado ninafuatilia kuona kama yale maazimio ya bunge kutokana na mapendekezo ya kamati PAC juu ya sakata la uchotwaji wa pesa katika akaunti ya Tegeta Escrow umeishia wapi.
Inasikitisha kuona hii movie inaisha kwa style hii, yani hata maandishi hakuna. Watuhumiwa bado wapo kwenye system ya nchi hii.
INAUMA SANA ILA HATUNA JINSI
 
Mkuu ngoma ya escrow bado mbichi
 
ngoma ya escrow imeishia hivi:

1. kufikishwa mahakamani aliyekuwa mkurugenzi wa RITA. .halafu takukuru walivyo wataalam wakapeleka ushahidi usiojitoshereza ili asipatikane na hatia yoyote.

2. kujiuzuru kwa aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali

3. kupigwa chini aliyekuwa waziri wa ardhi

4. kujiuzuru kwa aliyekuwa waziri wa nishati na madini

5. kumsimamisha kazi na baadaye kumsafisha aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati na madini
 
Ukiona anaye toka ana kingiwa kifua madhambi yake tambua anaye ingia anadhamiri mbaya zaidi kufuatia kauli ya 'Mwacheni Mzee Mkapa apumzike' wakati rafu iko dhahiri kilicho fuata tuna kijua, waliingia kazini mchwa wa kisasa wakala mpaka vioo, hili la Escrow na tulivutie subira ukiona ina someka july baada ya bajeti hakuna hata dokezo tujue tume kula mkong'oto.
 
hii ishu aiwezi kuendelea maana wauska ndio mawaziri na wengine w/viti wa bunge unategemea nini kwa hilo?
 
ngoma ya escrow imeishia hivi:

1. kufikishwa mahakamani aliyekuwa mkurugenzi wa RITA. .halafu takukuru walivyo wataalam wakapeleka ushahidi usiojitoshereza ili asipatikane na hatia yoyote.

2. kujiuzuru kwa aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali

3. kupigwa chini aliyekuwa waziri wa ardhi

4. kujiuzuru kwa aliyekuwa waziri wa nishati na madini

5. kumsimamisha kazi na baadaye kumsafisha aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati na madini
Halafu ndiyo pesa zimerudi au!!?
 
Back
Top Bottom