Kwani nchi hii ni Makonda tu?Hivi kwenye hizi teuzi zote,Makonda haonekani. Mama unampango gani na Makonda. Mbona alikuombea mema tu ulivyokuwa Msaidizi wa Sitta Kule Bungeni.
Msamehe Makonda Bado kijana mdogo. Amejifunza alipokosea.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kwani Kuna sehemu Kuna nafasi ipo wazi?Hivi kwenye hizi teuzi zote,Makonda haonekani. Mama unampango gani na Makonda. Mbona alikuombea mema tu ulivyokuwa Msaidizi wa Sitta Kule Bungeni.
Msamehe Makonda Bado kijana mdogo. Amejifunza alipokosea.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Umejuaje amejifunza a yuu ha waifuz?Hivi kwenye hizi teuzi zote,Makonda haonekani. Mama unampango gani na Makonda. Mbona alikuombea mema tu ulivyokuwa Msaidizi wa Sitta Kule Bungeni.
Msamehe Makonda Bado kijana mdogo. Amejifunza alipokosea.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Amesema anasubiria uteuzi? Nafasi aliyonayo Sasa mbona ni uteuzi piaKwa nini asiombe kazi kama vijana wengine kama anahitaji, kuliko kusubiria uteuzi wa Rais?
Tanzania nzima unamuona Makonda tu? Acha unafikiHivi kwenye hizi teuzi zote,Makonda haonekani. Mama unampango gani na Makonda. Mbona alikuombea mema tu ulivyokuwa Msaidizi wa Sitta Kule Bungeni.
Msamehe Makonda Bado kijana mdogo. Amejifunza alipokosea.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kuna watu wengi wenye uwezo kwanini Raisi amchague mtu ambaye anazuiwa mpaka kusafiri na nchi rafiki na wadhamini wetu kwa ukatili. Itakuwa kitu cha ajabu sanaHivi kwenye hizi teuzi zote,Makonda haonekani. Mama unampango gani na Makonda. Mbona alikuombea mema tu ulivyokuwa Msaidizi wa Sitta Kule Bungeni.
Msamehe Makonda Bado kijana mdogo. Amejifunza alipokosea.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Achana na hiyo taka taka ya KolomijeHivi kwenye hizi teuzi zote,Makonda haonekani. Mama unampango gani na Makonda. Mbona alikuombea mema tu ulivyokuwa Msaidizi wa Sitta Kule Bungeni.
Msamehe Makonda Bado kijana mdogo. Amejifunza alipokosea.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Unaijua nafasi aliyonayo sasa?Kuna watu wengi wenye uwezo kwanini Raisi amchague mtu ambaye anazuiwa mpaka kusafiri na nchi rafiki na wadhamini wetu kwa ukatili. Itakuwa kitu cha ajabu sana
Unaijua nafasi aliyonayo sasa?
Kwa Makonda muda utaongea.Hivi kwenye hizi teuzi zote,Makonda haonekani. Mama unampango gani na Makonda. Mbona alikuombea mema tu ulivyokuwa Msaidizi wa Sitta Kule Bungeni.
Msamehe Makonda Bado kijana mdogo. Amejifunza alipokosea.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ni raia wa kawaida? Ndio unavyojiongeopea? Najua hujui, na ndio nakuambia. Yupo bado serikalini na ana nafasi nzuri tu. Nakupa pole Kama hujuiNi raia wa kawaida anafanya shughuli zake. Huyu walikosea kumpa kazi serikali ni akiwq bado na utoto
Mwingi