Jamaa tuliwasaka kinoma mkuu, kuna muda ball possession ilionyesha 90 kwa 10.nakubaliana na wewe Mjuni Lwambo!ile timu iliyowatoa haina hizo quality za kufika hatua hiyo ila basi tu!
Jamaa tuliwasaka kinoma mkuu, kuna muda ball possession ilionyesha 90 kwa 10.
mkuu naona city kawapenda zaidi waingereza wenzie...kaamua kuwafuata!!
Ni kweli mkuu, kuruhusu magoli matatu lilikuwa kosa sana!!nadhani kosa lilitokea kwenye mechi ya awali...nakumbuka hata mwaka jana arsenal alitolewa lkn alicheza vzr sana mechi yake!!
Blaza naomba toa hii picha
Amepata homa hata kazini hajenda