barikiwa
Senior Member
- Dec 4, 2018
- 145
- 263
Ni miezi kadhaa toka nijiunge JF,
Ni miezi kadhaa toka nigundulike kuwa na Hepatitis B,
Hali yangu imedhoofu kuishi sitarajii. Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya. Kwa wale wote niliowakosea hapa JF samahani, mnisamehe mimi natangulia nitawasubiri kama tutaenda sehemu moja.
Sina muda mrefu wa kuishi hapa duniani, wiki nzima hii nateseka acha tu niende.
Habari zaidi, soma=>Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake - JamiiForums