Kwaherini wanaJF, nimegundulika nina ugonjwa wa Hepatitis B. Niliowakosea naomba mnisamehe

barikiwa

Senior Member
Dec 4, 2018
145
263
Ni miezi kadhaa toka nijiunge JF,

Ni miezi kadhaa toka nigundulike kuwa na Hepatitis B,

Hali yangu imedhoofu kuishi sitarajii. Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya. Kwa wale wote niliowakosea hapa JF samahani, mnisamehe mimi natangulia nitawasubiri kama tutaenda sehemu moja.

Sina muda mrefu wa kuishi hapa duniani, wiki nzima hii nateseka acha tu niende.

Habari zaidi, soma=>Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake - JamiiForums
 
Ni miezi kadhaa toka nijiunge JF,

Ni miezi kadhaa toka nigundulike kuwa na Hepatitis B,

Hali yangu imedhoofu kuishi sitarajii. Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya. Kwa wale wote niliowakosea hapa JF samahani, mnisAmehe mimi natangulia nitawasubiri kama tutaenda sehemu moja.

Sina muda mrefu wakuishi hapa duniani, wiki nzima hii nateseka acha tu niende
😢😢dah! nimeshindwa kuzuia machozi ..
 
Mungu sikumuan maisha yangu yote naona hata yeye hanijui kwanini anipe adhabu hii yote
usikate tamaa kiasi hicho mkuu,Mungu wetu ni wa rehema na si mwepesi wa hasira,hata kama unasema hukumuamini lakini yeye anakufahamu hata kabla ya kuwekwa kwa misingi ya dunia.As long unapumua hata sasa basi zidi kumuita atende muujiza na mi pia nakuombea
 
Ni miezi kadhaa toka nijiunge JF,

Ni miezi kadhaa toka nigundulike kuwa na Hepatitis B,

Hali yangu imedhoofu kuishi sitarajii. Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya. Kwa wale wote niliowakosea hapa JF samahani, mnisAmehe mimi natangulia nitawasubiri kama tutaenda sehemu moja.

Sina muda mrefu wakuishi hapa duniani, wiki nzima hii nateseka acha tu niende
Pole sn Kwan ugonjwa huu hautibiki siufahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole Sana. Usikate tamaa endelea na matibabu na kumtegemea Mungu. Kuna mtu alikua na Kansa ila alikua anasema Mimi sitakufa. Alikua Kila anachoambiwa kina tibu alikula au kunywa na taratibu alianza kupona mpaka akaacha kutumia mionzi.

Tunavyozungumza ni mzima kabisa anafanya shughuli zake. Mpaka Sasa anatumia dawa za kuondoa sumu mwilini zitokanazo na mionzi.

Ameenda India Mara zaidi ya tatu Hana Kansa Tena.

Hivyo ndugu natambua unateseka, unapata maumivu makali lakini endelea kusali na kuomba Mungu akuponye urudie Tena afya yako, lakini pia kumbuka ugonjwa huo unatibika hata kama umeshafanya madhara bado kuna chances za kupona.
 
Ni miezi kadhaa toka nijiunge JF,

Ni miezi kadhaa toka nigundulike kuwa na Hepatitis B,

Hali yangu imedhoofu kuishi sitarajii. Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya. Kwa wale wote niliowakosea hapa JF samahani, mnisAmehe mimi natangulia nitawasubiri kama tutaenda sehemu moja.

Sina muda mrefu wakuishi hapa duniani, wiki nzima hii nateseka acha tu niende
Pole sana jamani Mungu akutie nguvu usijikatie tamaa mpendwa....
 
Ni miezi kadhaa toka nijiunge JF,

Ni miezi kadhaa toka nigundulike kuwa na Hepatitis B,

Hali yangu imedhoofu kuishi sitarajii. Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya. Kwa wale wote niliowakosea hapa JF samahani, mnisAmehe mimi natangulia nitawasubiri kama tutaenda sehemu moja.

Sina muda mrefu wakuishi hapa duniani, wiki nzima hii nateseka acha tu niende
Pole sana chief,Mungu asimame pamoja nawe,tupe locatation yako,mawasiliano yako au ya ndugu yako wa karibu ili members wa jf waliopo karibu nawe waje hata kukujulia hali mkuu na kutupa updates just incase....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom