Kwaherini wana JF

Kwaherini wana JF

Uzuri ni kuwa JF ukiwa msomaji unapata madini mengi sana ila ndio hivyo tu kiherehere Cha kutaka kuonekana ndio kinatukwamisha
 
Kamanda "umebwaga manyanga" umekimbia medani ya "mapambano".

Ulifikiri ni lelemama?
Yeah,na mliobahatika kusoma uzi wangu asanteni sasa na naufuta sasa ili matesi wangu wasije nifahamu kwa dhamira zao asanteni
 
Uzuri ni kuwa JF ukiwa msomaji unapata madini mengi sana ila ndio hivyo tu kiherehere Cha kutaka kuonekana ndio kinatukwamisha
Hata mim mara ya kwanza sikujiunga lakn kiherehere cha kuchangia hoja nikajiunga
 
Shida vita ni ngumu ninazofikiri zinatokana na siasa au shughuli zangu za uchumi

By mbunge mpya mtarajiwa
SS vita SI Ina mwenyewe we unafikiri unapigaba tu?
Kila unaona anaepigana nyuma yake ana nguvu inayombuck up

SS we una ipi? Na nguvu ni 2 tu
Nuru na Giza
.
 
Wewe umejificha unakimbia nani awasemee familia yako nani awasemee? Kamanda komaa. Upo kambi ya jeshi. Ungekuwa kwenye miezi tisa ya mama ungekimbia wapi. Pamba na vijana wenzako
 
Kamanda "umebwaga manyanga" umekimbia medani ya "mapambano".

Ulifikiri ni lelemama?
Umekimbilia haraka ukidhani ni "Anthropology"; kumbe yeye anaitwa "Anthopody"!

Sasa unakubali "mapambano si lelemama". Subiri, hujaona mapambano yenyewe yakoje.
 
Back
Top Bottom