Kwaherini ndugu zangu wa JF

Injili itahubiriwa mpaka Yesu anarudi, ukiacha Mungu anainua mwingine tena wa kusimama kutangaza habari zake
Sijaacha mkuu, naenda katika maeneo mengine yasiyofikiwa na Jukwaa hili. Yesu alituagiza twende ulimwenguni mwote, sio kuhubiri eneo moja tu. Lakini Mungu akinijalia nitarudi tena.👋🙏
 
Sema nini aje tu na I'd nyingine maana huu mtandao unabamba mnoo 🤣

Kama temporary anamtumikia bwana basi akatumikie vyema na kwa utulivu lakini nashauri awasiliane Kungwi la JF Money Penny apewe vikorombwezo
Hawa walokole wanakuaga na balaa, yani wale kina halima miuno wakasome.....
 
Twanga Neno bila kuchoka,hadi mwisho wa daharivMtumishi!
 
Ni bora ukapumzishe ubongo maana inaonyesha una dalili za kurukwa na akili kwa maandishi yako
 
Oya usiondoke kirahisi hivyo wakati bado haujapata mume wajomba bado tunataka vijukuu vya JF viwe vingi wewe unaenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…