ni kweli kabisa kiongozi.nimeifuta ile kauli yangu ya kwanzaSi unajua Ada ya mja kunena Muungwana Vitendo
ni kweli kabisa bi dada.
Nalog off
samahani kiongozi mie sikujua kama wewe ni dume la mbegu mwenzangu,naomba unisamehe katika hili.Washawasha nitake radhi aisee!na ufute kauli yako,unatakiwa useme Bwana Mkubwa
utakumbuka tu dagaa wake