Kwaheri mpenzi, bora nianze upya

Kwaheri mpenzi, bora nianze upya

kuna wanaume wanamda wa kuchi kuchi mbona mi sipatagi hiyo nafasi aiseee... aisee piga chini sepa bado mtoto huyo ndo maana anakuzungusha kama mpira wa kona... achana nae kama anakupenda atarudi tena atakuwa na adabu

ila aangalie standing yake kaka mwanaume, asijekufanya sizitaki izi mbichi...then anasubiri weee kitu hakirudi then anarud mwenyewe kwa magoti...cha muhimu na yeye ni kuweka pozi ila si kupiga chini. Then mdada akijipigisha chini basi akijirudi maisha yanaendelea... nashauri tu kama una mtu wa maana, mpige chini wakati umepata wa maana zaidi, ila ivi vya kupigana chini kwa hasira na ghadhabu, atakuja kulia na kusaga meno atakapopata koroma kwa kuchagua nazi!
 
namwonea huruma anaangaike na pesa kupata badoa aangaike nakademu kinachozengua na tulivyowengi wai aweke kando kama ilikuwa pozi atarudi kama alikuwa anatest zali basi ndo inakuwa heri kwake
 
leo umekiri kuwa unanyanyasika? hahahaha. Pole mwaya, mmasai akiingia line huyo jamaa m'bwage tu. ila angalia usiteme bigijii kwa karanga za kuonjeshwa na mtu alietanguliza kidole kwenye kijiko.

:rapture:
Mmmmmmmmmh! japo 70% huu uhusiano nanyanyasika kijinsia si utani! Namlia timing tu, siku mamno yangu yakikaa poa atanisikia kwenye bomba tu!
 
Staki mwenzie basi,alipokwambia tuachane wewe ungesema sawa.................
 
Bob nikwambie tu kwamba huyo "demu" hakutaki!,na hivi umesitisha "misaada" muda si muda she will spit on your face...sasa bora uchape lapa kimya kimya ujipe matumaini kwamba ni wewe ndo umeamua iwe hivyo...kwa ninavyokusoma hapa siku ukipigwa hicho kibuti(ambayo haipo mbali) unaweza kulazwa kabisa kwa jinsi hapa ulivyolalamika.

=========================
Mkuu thanks kwa ushauri but nakuambia truth ni kwamba am too strong for this and thats y that day tulipotoka nilikuwa namaliza mchezo and ningekuwa OK tu.
 
Nawashukuru wakuu kwa kutoa ushauri wenu and am happy. Nashukuru that we live the life from different experience and kwangu this is my first. True I used to her sio kwasababu ni mzembe but sikupenda mtu wangu asumbuke.

But nawaahidi amekkwisha for good.
 
Kiukweli hata mie nina mtu ananisumbua hvyo hvyo, natamani nimuache ila siwezi. Na kisa anajua nampenda ananisumbua kuliko hata nilivyofikiria.
Mapenzi ni kaugonjwa kabaya nikitoka kwa huyu ndo utumwa baaaasi
 
Back
Top Bottom