Kwaheri mbowe, kwaheri chadema

Kwaheri mbowe, kwaheri chadema

Huko miaka ya 2000s baba aliwahi kunambia kuwa Mbowe na ZZK ni vijana wa mfumo, wanaeongoza vyama vya upinzani lakini kwa kulinda na kusimamia miongozo waliyopewa na mfumo.

Kitendo cha Mbowe kukabidhi madaraka kwa mtu mwengine rasmi inaonesha hatokuwa na mamlaka tena ya kutaka na kuamua namna gani chama kitajiendesha.

Nimetafakari mambo mawili unprecedented yalojitokeza baada ya Mbowe kuaga uenyeketi.

1. Kiongozi wa Chama cha CHADEMA kutuhumiwa hatia ya Uhaini, kitu ambacho hakikuwahi kutokea kwa kiongozi yeyote wa chama kabla.
2. CHADEMA kutokushiriki uchaguzi mwaka 2025-2030; hii huwenda ikaiondoa kabisa CHADEMA kwenye ramani ya kisiasa Tanzania kwasababu ni hatari kujiita chama kikuu cha upinzani bila uwakilishi wowote kwenye dimba za kisiasa hususani Bungeni na baraza la uwakilishi kadhalika nafasi za udiwani.
Hadi mwaka 2020, CHADEMA itakuwa imeshapoteza umaarufu na mvuto kwa kiasi kikubwa saana.

Kuondoka kwa mbowe, kumefunga milango ya hikima na busara CHADEMA

Kuondoka kwa Mbowe kumezima Nuru ya Chama, mwanga wa kibatari unaoelekea kuzima unategemea zaidi busara za Utawala na sio uongozi wa Chama husika.

KWAHERI MBOWE, KWAHERI CHADEMA
huna akili wewe
kasome " The long Walk To freedom" NELSON mandela, CHAMA CHA ANC kilipigwa marufuku kwa muda gani SA Na kikaja kutokea nn baadae?
 
Bi mkubwa, Mh Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Asalaam aleykum!

Kumbe unatumia Jamii forum na husemi jina la account yako?

Je madai ya Chadema kuhusu Tume ya uchanguzi na katiba mpya hayana maslahi kwa letu la Tanzania?

Unajisikiaje hali ilivyo nje ya Nchi baada ya vyombo vyako kumpa kesi ya uhaini Mh Lissu?

Hivi ingekuwa wewe ndio upo Chadema halafu Lissu ndio mwenyekiti wa CCM, je ungekubali Mkurugenzi wa tume ya uchanguzi na wasaidizi wake wawe ni wa teule wa mwenyekiti Lissu?
Bi mkubwa usiangalie maslahi ya kikundi kidogo, angalia maslahi ya taifa mapana kwa ujumla wake leo na kesho na kesho kutwa.
Bi mkubwa usifurahie yaliyopo, unaweza usirudi Magongoni wala Chamwino.
Mwisho Bi Mkubwa HATUISHI MILELE.

Huko miaka ya 2000s baba aliwahi kunambia kuwa Mbowe na ZZK ni vijana wa mfumo, wanaeongoza vyama vya upinzani lakini kwa kulinda na kusimamia miongozo waliyopewa na mfumo.

Kitendo cha Mbowe kukabidhi madaraka kwa mtu mwengine rasmi inaonesha hatokuwa na mamlaka tena ya kutaka na kuamua namna gani chama kitajiendesha.

Nimetafakari mambo mawili unprecedented yalojitokeza baada ya Mbowe kuaga uenyeketi.

1. Kiongozi wa Chama cha CHADEMA kutuhumiwa hatia ya Uhaini, kitu ambacho hakikuwahi kutokea kwa kiongozi yeyote wa chama kabla.
2. CHADEMA kutokushiriki uchaguzi mwaka 2025-2030; hii huwenda ikaiondoa kabisa CHADEMA kwenye ramani ya kisiasa Tanzania kwasababu ni hatari kujiita chama kikuu cha upinzani bila uwakilishi wowote kwenye dimba za kisiasa hususani Bungeni na baraza la uwakilishi kadhalika nafasi za udiwani.
Hadi mwaka 2020, CHADEMA itakuwa imeshapoteza umaarufu na mvuto kwa kiasi kikubwa saana.

Kuondoka kwa mbowe, kumefunga milango ya hikima na busara CHADEMA

Kuondoka kwa Mbowe kumezima Nuru ya Chama, mwanga wa kibatari unaoelekea kuzima unategemea zaidi busara za Utawala na sio uongozi wa Chama husika.

KWAHERI MBOWE, KWAHERI CHADEMA
 
Bi Mkubwa, Mh Rais hivi unakumbuka, Hayati Mh Maalim Seif, Hamad Rashid kiongozi wa Chama Cha ADC kwa sasa waliwahi kupewa kesi ya uhaini na Raisi Salmin Amour?
Nakukumbusha hii si mara ya kwanza kutokea kwa viongozi wakuu wa vyama.
Huko miaka ya 2000s baba aliwahi kunambia kuwa Mbowe na ZZK ni vijana wa mfumo, wanaeongoza vyama vya upinzani lakini kwa kulinda na kusimamia miongozo waliyopewa na mfumo.

Kitendo cha Mbowe kukabidhi madaraka kwa mtu mwengine rasmi inaonesha hatokuwa na mamlaka tena ya kutaka na kuamua namna gani chama kitajiendesha.

Nimetafakari mambo mawili unprecedented yalojitokeza baada ya Mbowe kuaga uenyeketi.

1. Kiongozi wa Chama cha CHADEMA kutuhumiwa hatia ya Uhaini, kitu ambacho hakikuwahi kutokea kwa kiongozi yeyote wa chama kabla.
2. CHADEMA kutokushiriki uchaguzi mwaka 2025-2030; hii huwenda ikaiondoa kabisa CHADEMA kwenye ramani ya kisiasa Tanzania kwasababu ni hatari kujiita chama kikuu cha upinzani bila uwakilishi wowote kwenye dimba za kisiasa hususani Bungeni na baraza la uwakilishi kadhalika nafasi za udiwani.
Hadi mwaka 2020, CHADEMA itakuwa imeshapoteza umaarufu na mvuto kwa kiasi kikubwa saana.

Kuondoka kwa mbowe, kumefunga milango ya hikima na busara CHADEMA

Kuondoka kwa Mbowe kumezima Nuru ya Chama, mwanga wa kibatari unaoelekea kuzima unategemea zaidi busara za Utawala na sio uongozi wa Chama husika.

KWAHERI MBOWE, KWAHERI CHADEMA
 
Hii haina tofauti na nilipo kuwa dodoma Kila mtu ni kitengooo
 
hii post ina uandishi wenye codes fulani unadhani ni account ya mtu gani?@Rabbon, Tindo
 
Namuamini baba yako
 
Baada ya kufika hapa, "Hadi mwaka 2020, CHADEMA itakuwa imeshapoteza umaarufu na mvuto kwa kiasi kikubwa saana." , nikapata uhakika wa kile nilichokiwaza baada ya kuona title tu kuwa mwandishi ana matatizo ya afya akili.
 
Huko miaka ya 2000s baba aliwahi kunambia kuwa Mbowe na ZZK ni vijana wa mfumo, wanaeongoza vyama vya upinzani lakini kwa kulinda na kusimamia miongozo waliyopewa na mfumo.

Kitendo cha Mbowe kukabidhi madaraka kwa mtu mwengine rasmi inaonesha hatokuwa na mamlaka tena ya kutaka na kuamua namna gani chama kitajiendesha.

Nimetafakari mambo mawili unprecedented yalojitokeza baada ya Mbowe kuaga uenyeketi.

1. Kiongozi wa Chama cha CHADEMA kutuhumiwa hatia ya Uhaini, kitu ambacho hakikuwahi kutokea kwa kiongozi yeyote wa chama kabla.
2. CHADEMA kutokushiriki uchaguzi mwaka 2025-2030; hii huwenda ikaiondoa kabisa CHADEMA kwenye ramani ya kisiasa Tanzania kwasababu ni hatari kujiita chama kikuu cha upinzani bila uwakilishi wowote kwenye dimba za kisiasa hususani Bungeni na baraza la uwakilishi kadhalika nafasi za udiwani.
Hadi mwaka 2020, CHADEMA itakuwa imeshapoteza umaarufu na mvuto kwa kiasi kikubwa saana.

Kuondoka kwa mbowe, kumefunga milango ya hikima na busara CHADEMA

Kuondoka kwa Mbowe kumezima Nuru ya Chama, mwanga wa kibatari unaoelekea kuzima unategemea zaidi busara za Utawala na sio uongozi wa Chama husika.

KWAHERI MBOWE, KWAHERI CHADEMA
Una ujumbe wako wa Maaskofu huko,
26/04/2026 povu kama looote, taarab na mipasho kama Morden Taarabu siku hiyo
 
Kuondoka kwa mbowe, kumefunga milango ya hikima na busara CHADEMA

Kuondoka kwa Mbowe kumezima Nuru ya Chama, mwanga wa kibatari unaoelekea kuzima unategemea zaidi busara za Utawala na sio uongozi wa Chama husika.
Wewe g55 nenda tafuta kazi nyingine ufanye. Uchawa wako kwa Mbowe na kama ulitegemea ubunge wa mezani wa maridhiano feki, imekula kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom