Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Yaani watu wanaacha kazi zao na kwenda kujazana pale jangwani,wengine walikesha usku mmja kabla ya siku pale jangwani,wengine waliwahi majumbani kufungulia tv zao alafu unaongea kwa dakika kumi na sehemu kubwa ya ulichoongea ni vijembe then unatuambia sisi wote ni wasomi tukasome ilani yako mtandaoni....dah inasikitisha
Hivi hakuna mengine yanayoweza kujadiliwa mpaka kila mtu anaanzisha thread hii?
Elekeza nguvu hizi kuanzisha post yenye kusambaza sera za chama chako na mgombea wako
Kwa taarifa yako mimi sina chama,nitampigia kura mtu yoyote nitakayekuwa nimemuelewa hdi kufikia siku ya mwisho...wewe ulienunuliwa na lowasa ndo umebakiza kazi ya kulipa deni
Ulitaka aongee had saa mbil usiku au...we namna gan
ntakuwa mtanzania halisi 25th octoberwewe naye ni mtanzania kweli?
Kama hii hoja haina maana ni wewe kwa sbb unamaslahi ya mojakwamoja na lowasa ndomana inakuuma,na hii hoja imejadiliwa si ungepitazako kimyakimya kwani wewe ni modsIf you are cheap to be bought, wengine we are priceless hakuna chochote kinachoweza kuninunua...
Okay, huna chama nakukubalia...Je hakuna hoja nyingine ya maana unayoweza kuanzisha watu wakajadili kwa mustakabali wa taifa mpaka utumie nguvu nyingi kuanzisha hili ambalo lishajadiliwa sana jana??
Mwishowe inaonekana sasa kuwa propaganda zisizo na mantiki hata kama zingekuwa zimebeba hoja ya msingi....
If you are cheap to be bought, wengine we are priceless hakuna chochote kinachoweza kuninunua...
Okay, huna chama nakukubalia...Je hakuna hoja nyingine ya maana unayoweza kuanzisha watu wakajadili kwa mustakabali wa taifa mpaka utumie nguvu nyingi kuanzisha hili ambalo lishajadiliwa sana jana??
Mwishowe inaonekana sasa kuwa propaganda zisizo na mantiki hata kama zingekuwa zimebeba hoja ya msingi....
Muda haukutosha show ilitakiwa iishe 6pm
Yaani watu wanaacha kazi zao na kwenda kujazana pale jangwani,wengine walikesha usku mmja kabla ya siku pale jangwani,wengine waliwahi majumbani kufungulia tv zao alafu unaongea kwa dakika kumi na sehemu kubwa ya ulichoongea ni vijembe then unatuambia sisi wote ni wasomi tukasome ilani yako mtandaoni....dah inasikitisha
Mimi nilitoka Arusha kuja Jangwani, Lakini niliondoka nimeridhika kabisa! Sasa wewe mwanaCCM usiyelitakia mema taifa hili nini kinachokukera? Ulitazama ya Iringa leo? Hata hivyo usiku ule ule hotuba ya Lowassa aliisoma LIVE kupitia TV stations! Pia iko kwenye mitandao mbali mbali na tumeshawazambazia wale wote ambao hawana Access na mtandao. Hata wewe kama hujaisoma isome hapo chini.Yaani watu wanaacha kazi zao na kwenda kujazana pale jangwani,wengine walikesha usku mmja kabla ya siku pale jangwani,wengine waliwahi majumbani kufungulia tv zao alafu unaongea kwa dakika kumi na sehemu kubwa ya ulichoongea ni vijembe then unatuambia sisi wote ni wasomi tukasome ilani yako mtandaoni....dah inasikitisha
kutunza vichinjio tuu...Ukweli ulikuwa waaaazi jana pale jangwani....mwenye macho aliona na mwenye masikio alisikia....akili kichwani.tunza kichinjio....tukutane 25 October,watanzania wanaakili na ufahamu wa kina..
Ndio uanze kujua kwamba CDM tuko ki digital zaidi na huo ndio mwanzo wa mabadiliko zaidi. Yule anaezunguka huko kusini na kutaja mambo ambayo serikali yake imeshindwa kuyafanya ameongea nini zaidi ya vijembe na kuchukua sera zetu.
BURE KABISA WEWE NA UJUE CCM IS FINISHED. KWISHNEY. KAPUT
Ngoja nipite tu #kwaajiliyamuda
siku zote ma jiniasi (watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri) hawanaga maneno mengi ila vitendo hilo lisikupe shaka, watu jana jagwani tulienda kumuona lowasa na majembe wengine hata wasingeongea chochote still hatupo tayari kuichagua CCM.
unajua story ya mtaani mida hii ni kuwa hata kama UKAWA WANGESIMAMISHA JIWE TUTACHAGUA HILO ILA SIYO HAWA MIUNGU WATU WA CCM
Subiri sindano ikuingie wewe. Wasomi maprofesa wameona cha maana kutoka kwa Lowasa jana. Hotuba yake imelenga kila sekta na inatekelezeka. Sasa wewe aliekutuma kamwambie watanzania hawataki propaganda wanataka mabadiliko na mabafiliko ni kupitia kwa Lowasa.
Mnajisumbua tu ndugu zangu wana ccm...