Nilishangaa baada ya sentensi ya kwanza alivyoanza kuongea Lowassa misururu ya watu ilianza kuondoka kama vile aliyekuwa anaongea aliwatukana, kama kweli Lowassa ana akiri na anasoma alama basi aangalie hilo tukio na ajielewe watu wanamwonaje
Naona umerudi kuokoa jahazi
Huyu hatutesi tunamuonea huruma. Muache kuwasingizia watanzania. Tunataka mabadiliko lakini siyo haya ya kiini macho. Matapishi yenu lambeni wenyewe.
siyo kosa lako akili ndogo haiwezi kuelewa akili kubwa.
Ndiyo Kwani Naona Kama Vile Wana CCM Wenzangu MNAONEWA, KUDHALILISHWA Na Hata KUNYANYASIKA. Sasa KAMANDA Wenu KIBOKO Ya Wana CHADEMA + UKAWA Wote Humu Jamvini Nimerudi Na Nipo Gado. Namalizia Tu KUKUSANYA Taarifa NYETI Na Ambazo Nina UHAKIKA Kuwa Hata Viongozi WAANDAMIZI Wote Wa CHADEMA + UKAWA Hawatajua Nani KANIPA Na Nimetumia UJUZI Na MBINU Gani Kuzipata. Labda Mwenyezi Mungu ANICHUKUE Leo Ila Kama Mambo YAKIENDA VIZURI Na Kwakuwa Lowassa Jana Kawaambia " Wapumbavu Na Malofa " Wasome Hotuba Yake Ya Dakika 11 Ktk Mitandao Hivyo Na Mimi Nawasihi Msikae Mbali Kwani Muda Wowote NAKWENDA KUPAKUA KITU AMBACHO NINA UHAKIKA Nchi ITATIKISIKA Ila Kwa Wana CCM Wote Tanzania Na Kwingineko WATAFURAHI Mno Na Sana Tu. Nimeamua Kufanya Hivi Kwa NYODO Za Jana Za Richard Tambwe Hiza Na Mkiweza Mmwambie Tu Kuwa Akae Tayari Tayari Kwani Nitapiga Kote Kote Nikimaanisha Kwa Lowassa, Sumaye Na Hiza ILA Picha Langu Kamili Nitalinogesha Kwa Lowassa Na Hiza. Huyo Dogo Hiza TUMEMLEA Na KUMFUNDISHA KAZI Wenyewe Leo ANAJIFANYA KUTUGEUKA. Na Akicheza Tutaitoa Hadi Ile Video Yake Ya Alivyofanyiwa YASIYOELEZEKA Hapa Jamvini Pale Mikocheni Hoteli Iliyojirani Kabisa Na Ulipokuwa Ubalozi Wa Zamani Wa Rwanda. Kwa Kuanzia Tu Naomba Niishie Hapa ILA Richard Tambwe Hiza Asione Aibu au Taabu Kunitafuta Ili Tuyamalize Na Anajua Ni Wapi Atanipata Kwani Urafiki Wangu Na Yeye Umeisha Rasmi Jana Tu Alipojiunga Na MAPOPOMA WALIOTUKUKA.
Tatizo lenu ni nini hasa? It was very short but clear. Alisemea elimu, kilimo, afya, michezo, ajira na kuendelea etc. Sasa watu nadhani mushakariri kina Magufuli wanakuja kurap. Ilani ya cdm iko safi, ila tu humu kuna watu na viatu. Usikivu ni below zero
Kwani bilali, babu seya, mashekh sio mabadiliko..!? wacha kuwa mjinga kiasi jicho, usifikiri kuandika upuuzi ndio utatubadilisha tusimpigie kura, kura tutampa na urais atauchukua mapemaaaa..!!