Kwaheri lowassa jaribu tena 2020

Kwaheri lowassa jaribu tena 2020

Du jamaa tishio! Wakimkata watampa cha kuongea bora wamuache alafu wacheze karata abwagwe kwa kura kwenye nec ili kumkata kidomodomo kabisa. Ni mtazamo tu msiniuwe bure bandugu.

Uwezo huo wa kucheza karata huko NEC hawana kabisa,kama huamini muulize Lizaboni ndio maana wanapigana kufa na kupona aishie CC
 
Last edited by a moderator:
Kama kutaja jina Lowasa tungekuwa tunatozwa kodi basi TRA wangepata mabilioni maana huyu mtu anatajwa kila siku sijui ni kila dakika??,

Waganga wa kienyeji wa membe wanalitaja jina la Lowasa kila sekunde huku nape na Makonda nao wakilitaja Kwa speeds ya hatari,
 
Uwezo huo wa kucheza karata huko NEC hawana kabisa,kama huamini muulize Lizaboni ndio maana wanapigana kufa na kupona aishie CC

Lizabon a.k.a Makonda anapambana Lowasa akatwe maana anajua Lowasa akiwa Rais ukuu wa wilaya itakuwa safari.
 
Last edited by a moderator:
Michezo michafu yote ya kumchafua Lowassa ni Membe anafanya... huku Membe akijua hakuna anayemtaka hata nukta moja...!!!

Membe ni muongo mkubwa, mnafiki, mshirikina, mswahili asiye base ktk result oriented, mbaya zaidi, HANA UWEZO KABISA WA KUONGOZA... na wananchi wanamchukia sana sbb ni MUONGO SANA SANA... Sijui hata uwaziri alipataje....ili hali ubunge wake ulikuwa wa shida sana... hafai...!!!

Uzuri tunamjua... hata yeye wakati wa kutafuta wadhamini kaona hana chake...!!!

Muongo sana, na mnafiki mkuu huyu...!!!
 
Hapana, yeye ndiye pekee aliyetumia rasilimali nyingi, ghiliba na hila za ajabu kwa ajili ya kununua URAIS

Si kweli kuwa Lowasa katumia pesa nyingi bali huu uzushi umekuzwa na kuenezwa na Membe ili Lowasa aonekane ananunua kila kitu, lakini ukweli mtu anayetumia pesa nyingi Kwa sasa ni Membe kaamua kuleta waganga wa kienyeji 100 na juzi alikwenda Italy kusaka waganga wa kizungu akazuga eti kaenda kuhiji Kwa papa , mabilion ya Gadafi yamemzuzua sana anayatumia vibaya badala ya kusaka njia bora yeye kaamua kumsakama Lowasa pekee huku waganga wake pia wakiwabeep cc ili wampe Goli la mkononi.
 
Kazi aliyobaki nayo huyu jambazi sugu na fisadi papa lowasa ni kuitisha ccm. Mara oohh nitaondoka na watu. Mara oooh ushindi usipopatikana ndani ya ccm utatafutwa nje. Pesa tu ndo zinaongea lkn ukimuangalia anayeongea utastaajabu sana. Sura imeleghea macho yake yamekuwa km teja. Hawezi hata kukaa mwenyewe bila kushikiliwa yaani ni mgonjwa mahututi. Jambazi sugu na fisadi papa na mgonjwa lowasa aachwe apumzike

But kuna vitu vinanitatiza! Inawezekana tukawa tunachezeshwa ngoma tusoihua.. Sometimes nahisi hata Jk yuko nyuma ya EL ila kwa siri sana. El yuko na watu wengi sana nje na ndani ya system, so sidhani kama hana uhakika na anachokifanya, na asingeweza tumia pesa nyingi kivile. Nitakuwa wa mwisho kuamini Jk na El hawaelewani. Wanajua wanachokifanya na msishangae Edo ndo akawa mpeperusha bendera. Hii inaweza kuwashangaza sana hata hilo baraza la wazee ila ukweli utajulikana. Inawezekana mzee Ruksa akawa anajua kila kitu but kamwe hawezi kumuangusha Jk..kuna watu wanatumika na hawajui kama wanatumika.. hii yote ya "atakatwa" ni kete itayotumika ili ionekane kama aliandamwa. Jk ana maslahi mapana sana na El kuliko mtu mwingine yeyote na ni wasiri sana hawa watu... but ni HISIA zangu tu.
 
Si kweli kuwa Lowasa katumia pesa nyingi bali huu uzushi umekuzwa na kuenezwa na Membe ili Lowasa aonekane ananunua kila kitu, lakini ukweli mtu anayetumia pesa nyingi Kwa sasa ni Membe kaamua kuleta waganga wa kienyeji 100 na juzi alikwenda Italy kusaka waganga wa kizungu akazuga eti kaenda kuhiji Kwa papa , mabilion ya Gadafi yamemzuzua sana anayatumia vibaya badala ya kusaka njia bora yeye kaamua kumsakama Lowasa pekee huku waganga wake pia wakiwabeep cc ili wampe Goli la mkononi.

Utakuwa minyoo kama huamini kuwa Lowasa ndiye mtaka URAIS aliyetumia fedha nyingi, ghiliba, hila na udanganyifu kuliko wengine wote wanaosaka hiyo nafasi. Kama Membe ameamua kuhangaika na Waganga wa Kienyeji hilo ni lake na sidhani kama unaweza kulidhibitisha kama Lowasa alivyokuwa anakodi watu na kujinasibu kuwa ni mafuriko,

Kuna mambo yanaudhi na kukera mno pale mtu mmoja anapoamua kucheza na fikra, shida, umaskini na hata ufahamu mdogo kwa ajili ya kujinufaisha yeye mwenyewe na washirika wake.
 
Last edited by a moderator:
But kuna vitu vinanitatiza! Inawezekana tukawa tunachezeshwa ngoma tusoihua.. Sometimes nahisi hata Jk yuko nyuma ya EL ila kwa siri sana. El yuko na watu wengi sana nje na ndani ya system, so sidhani kama hana uhakika na anachokifanya, na asingeweza tumia pesa nyingi kivile. Nitakuwa wa mwisho kuamini Jk na El hawaelewani. Wanajua wanachokifanya na msishangae Edo ndo akawa mpeperusha bendera. Hii inaweza kuwashangaza sana hata hilo baraza la wazee ila ukweli utajulikana. Inawezekana mzee Ruksa akawa anajua kila kitu but kamwe hawezi kumuangusha Jk..kuna watu wanatumika na hawajui kama wanatumika.. hii yote ya "atakatwa" ni kete itayotumika ili ionekane kama aliandamwa. Jk ana maslahi mapana sana na El kuliko mtu mwingine yeyote na ni wasiri sana hawa watu... but ni HISIA zangu tu.

Adui wa Lowasa si JK Adui wa Lowasa ni Membe huyo ndiye kaeneza Sumu zote ndiyo maana Jk hamuungi mkono membe kamwachia Riz na mama yake chaguo lake lilikuwa jaji Ramadhan lakini sasa kaona hauziki kaamua kujiludi moyoni yupo na Lowasa machoni yupo na Muhongo , wasira na pinda , hii ndiyo Tanzania Nchi ya ajabu ngoja mtaona maajabu tarehe 12 .
 
Utakuwa minyoo kama huamini kuwa Lowasa ndiye mtaka URAIS aliyetumia fedha nyingi, ghiliba, hila na udanganyifu kuliko wengine wote wanaosaka hiyo nafasi. Kama Membe ameamua kuhangaika na Waganga wa Kienyeji hilo ni lake na sidhani kama unaweza kulidhibitisha kama Lowasa alivyokuwa anakodi watu na kujinasibu kuwa ni mafuriko,

Kuna mambo yanaudhi na kukera mno pale mtu mmoja anapoamua kucheza na fikra, shida, umaskini na hata ufahamu mdogo kwa ajili ya kujinufaisha yeye mwenyewe na washirika wake.

Weka chaguo lako hapa tulijadili
 
Last edited by a moderator:
Nape utadaiwa pesa na Membe maana asipopewa Hilo Goli la mkono atazimia wiki akiamka lazima aje kukudai mabilion yake , Nape jiandae kurejesha cha membe.
 
Lwassa anawakuna ipasavyo na mimi nasema awakune tu maana hakuna nma nyingine sasa.
 
Back
Top Bottom