Kwaheri lowassa jaribu tena 2020

Kwaheri lowassa jaribu tena 2020

Wakithubutu kukata jina CCM ndio bye bye....nakuhakikishia

Kazi aliyobaki nayo huyu jambazi sugu na fisadi papa lowasa ni kuitisha ccm. Mara oohh nitaondoka na watu. Mara oooh ushindi usipopatikana ndani ya ccm utatafutwa nje. Pesa tu ndo zinaongea lkn ukimuangalia anayeongea utastaajabu sana. Sura imeleghea macho yake yamekuwa km teja. Hawezi hata kukaa mwenyewe bila kushikiliwa yaani ni mgonjwa mahututi. Jambazi sugu na fisadi papa na mgonjwa lowasa aachwe apumzike
 
Na akipitishwa je?

Halafu kumbe watu tayari washakubali kuwa CCM itaendelea kutawala Tanzania kwa miaka mingi sana ijayo kama si milele.
Game halijaanza hili ni jaramba
 
Kazi aliyobaki nayo huyu jambazi sugu na fisadi papa lowasa ni kuitisha ccm. Mara oohh nitaondoka na watu. Mara oooh ushindi usipopatikana ndani ya ccm utatafutwa nje. Pesa tu ndo zinaongea lkn ukimuangalia anayeongea utastaajabu sana. Sura imeleghea macho yake yamekuwa km teja. Hawezi hata kukaa mwenyewe bila kushikiliwa yaani ni mgonjwa mahututi. Jambazi sugu na fisadi papa na mgonjwa lowasa aachwe apumzike

Kama ni fisadi siku zote mlikuwa wapi msimpeleke mahakamani ?? Na kwanini mkamwachia hadi akachukua fomu na kurudisha ? Mtaisoma namba.

KATENI JINA SISI TUNAIKATA CCM HUKU URAIANI
 
CCM is between the hard rock and a hard place. Damned if EL is picked, Damned if not picked!
 
Kama ni fisadi siku zote mlikuwa wapi msimpeleke mahakamani ?? Na kwanini mkamwachia hadi akachukua fomu na kurudisha ? Mtaisoma namba.

KATENI JINA SISI TUNAIKATA CCM HUKU URAIANI

CCM Wote ni mafisadi,sema wanazidiana viwango.
 
Du jamaa tishio! Wakimkata watampa cha kuongea bora wamuache alafu wacheze karata abwagwe kwa kura kwenye nec ili kumkata kidomodomo kabisa. Ni mtazamo tu msiniuwe bure bandugu.
 
Hizi post aisee hadi zinachosha

Timu za membe wapo busy 24 hrs kumchanganya Lowasa mkuu wa wilaya ya Kinondoni makonda a.k.a Lizaboni keshapewa kiinua mgongo chake na Membe kaapa kumchafua Lowasa Kwa njia za kila aina sasa wanapanga kuzusha mengi sana humu mtandaoni, makonda Kwa sasa hafanyi kazi zingine zaidi ya kubuni Fitna na Uzushi juu ya Lowasa.
 
Back
Top Bottom