Kwaheri lowassa jaribu tena 2020

Kwaheri lowassa jaribu tena 2020

Tumeshajionea wana Team lowassa wakiwa na frustration katika kipindi cha masaa 48 yaliyopita lakini hakuna aliyekiri kukwama.

Tumeshihudia tabia chafu ya Team lowasa kumdhihaki mwenyekiti.eti EL alimsaidia JK kuingia madarakani na kwamba bila yeye JK angeshindwa!

Yaani EL aliamua na amedhamiria kumblackmail mwenyekiti wa ccm na rais wa JMT.

wafuasi wa EL wameonesha jeuri ya fedha na ubabe dhidi ya mwenyekiti wa ccm na rais wa JMT.

PENGINE EL hausiki bali tatizo ni team aliyoichagua kuitumia #Teamkibonde


Hili ni kosa kubwa lilofanywa na Team El ambalo watalijutia.

El amejitahidi kulirekebisha bila mafanikio na sasa tunaona revelation za wafuasi wake.

Teamlowassa wametumia fedha,hadaa na ubabe iki tu kujionesha kuwa wao ni zaidi ya chama na system na wananchi...huu ni upuuzi !

Kwa taarifa yenu ninyi Teammapesa ni wachache na sisi ni wengi.
Na mkimzidi mwenyekiti wako watu wa kumlinda kwa njia yoyote ile.

EL alikuwa mtulivu kama yeye lakini wapambe wake wamejikweza na malipo wanayoyapata ndio haya sasa....to BOW DOWN WHEN IT IS TOO LATE

RAIS mwinyi alijituliza akapewa nchi lakini ninyi Team mapesa mnajidai wajuaji sasa msubirini #ngariba awaketete.
 
Bado siku chache tutasikia mamvi yupo ICU
 
But kuna vitu vinanitatiza! Inawezekana tukawa tunachezeshwa ngoma tusoihua.. Sometimes nahisi hata Jk yuko nyuma ya EL ila kwa siri sana. El yuko na watu wengi sana nje na ndani ya system, so sidhani kama hana uhakika na anachokifanya, na asingeweza tumia pesa nyingi kivile. Nitakuwa wa mwisho kuamini Jk na El hawaelewani. Wanajua wanachokifanya na msishangae Edo ndo akawa mpeperusha bendera. Hii inaweza kuwashangaza sana hata hilo baraza la wazee ila ukweli utajulikana. Inawezekana mzee Ruksa akawa anajua kila kitu but kamwe hawezi kumuangusha Jk..kuna watu wanatumika na hawajui kama wanatumika.. hii yote ya "atakatwa" ni kete itayotumika ili ionekane kama aliandamwa. Jk ana maslahi mapana sana na El kuliko mtu mwingine yeyote na ni wasiri sana hawa watu... but ni HISIA zangu tu.

Ukiwa na watu kwenye system huwezi kutumia hata senti ya fedha uliyonayo coz kila kitu ni uhakika.
Kwenye system hakuna anayemsapoti jambazi lowasa
 
Duh!

Mbona Lowasa anaandamwa sana?

Yeye ndo tishio au..?

Mkuu, usiulize tena. Yaani mijitu inatamani hata angekufa wapumue. Lowasa ndo ccm jamani. Hakuna ccm bila Lowasa. Mwaka huu ccm itakufa kabla ya uchaguzi. UKAWA nendeni mkaunde Baraza la uongozi tu.
 
Kama ni fisadi siku zote mlikuwa wapi msimpeleke mahakamani ?? Na kwanini mkamwachia hadi akachukua fomu na kurudisha ? Mtaisoma namba.

KATENI JINA SISI TUNAIKATA CCM HUKU URAIANI

Mtaji wa lowasa siku zote ni makundi mawili makuu: Matajiri wa kifisadi na masikini wa aina tatu.
1. Masikini wa kipato. Wanaotegemea lita 3 za petrol leo bila kujua kesho yao itakuwaje.
2. Masini wa akili.........wenye elimu ndogo km kina bashe au kingunge
3. Masikini wa taarifa sahihi kuhusu ufisadi na ujambazi wa lowasa
4. Mafisadi na wapigaji dili wa taifa km rostam, chenge, tibaijuka, karamagi etc
 
Na wewe na huyo mamvi ICU zitawahusu kuanzia jumapili

jumapili mimi nitakuwa the new osaka bar nakula monde mpaka maboko sijasema mimi kasema marehemu pepe kalle papa mouka......
 
Back
Top Bottom