Ah atupishe bwana!kwani nani alimtuma agawe namba za simu
kuna mtu alimlazimisha ?anatupigia kelele za nini hapa anafikir kila mtu kid mwenzie hapa ala!ye alipotoa namba si manake apigiwe sasa mbona alipokuwa anatoa namba hakutoa tangazo la habari hapa!:A S angry:
Mkuu shida iko wapi?...mbona tokea umejiunga na JF umekuwa rafiki na watu8 lakini hajawahi kukupigia simu wala kukukera,zaidi hata jinsia yako haitambui.
Jifunze kupuuzia baadhi ya mambo ambayo kwako hayakupunguzii chochote..
Mkuu hata ukiondoka JF bado namba yako ya simu itaendelea kuwepo kwenye simu za hao wanaokusumbua
Mbona wakati unagawa hiyo namba hukutupa taarifa?
kama ambavyo ulifanya kwenye hiyo namba kimya kimya ungeondoka bila kuaga,
unatuaga ili tufanyeje sasa?