Madame B kwanza heshima yako, hakuna kitu kizuri kama kushare hubby, unakuwa stress free! mi hata nikiondoka mwezi najua Yummy na BADILI TABIA wanahudumia kama kawaida! lol,
Yanini kuhangaikia kulea watoto kipindi hiki? Ngoja kwanza tuponde raha!Asante cacico,
Ila mda mwingine mitala ni nzuri sana endapo wenzio mnaelewana.
Haya bhana namtakia kila la kheri,japo nina wasiwasi na Asprin wenu, maana si wewe, Yummy wala BADILI TABIA mwenye dalili ya :mimba:
Tuelezeni kwa urefu au mme wenu anaogopa budget itaongezeka?
Eti!!
Jana tu alikuwa anfuraha ameomba ushauri juu ya malaria leo anatuaga kwanin lakin jamni aaaaah mi sielewi kila mtu anamoyo wake kweli sazingne mtu ankujibu dry au anasema hovyo bt hupaswi kukasirika kuna watu wamezaliwa hivoo na kuwaepuka ni rahis mnooo ni kuwadharau tuu mbona utaishi kwa aman ruta kiukweli mi sijapendezwa kabisaaaa na hiki kitendo cha huyu shoga angu sijapenda hata kutajwa si ushukuru basi ata watu wanakuwaza inamaana hw important u are to them u do affect them in their online life smtm shata kwa live life jaman cl this is my last word to my switi shost pliiiiiz dont gooo away pliiiiz.
Yanini kuhangaikia kulea watoto kipindi hiki? Ngoja kwanza tuponde raha!
BTW ndio nini kupotezeana namna hii??
tena wewe ndo moja ya chanzo, ngoja tu nikupe za uso ukae ukijua kabisa afu unaanza k
https://www.jamiiforums.com
ngoja nijiite angrylady ili nisisumbuliwe kha!
asante, address yangu ni
s.l.p 2015 mwanza.
nyumba namba 12,
mtaa wa nyakurunduma
kijiji cha nyamwilolelwa
kata ya nyangh'olong'o
ubalozi wa mpolampolantondo
mwenye nyumba anaitwa suba
asante, address yangu ni
s.l.p 2015 mwanza.
nyumba namba 12,
mtaa wa nyakurunduma
kijiji cha nyamwilolelwa
kata ya nyangh'olong'o
ubalozi wa mpolampolantondo
mwenye nyumba anaitwa suba
njoo tuondoke pamoja tukaanzishe sosho netiweki yetu mwe!
Mponde raha!!???
Ulivyowatoa kwao ulitegemea wakulee mpaka lini?
Hebu wape haki yao wewe,
Yummy:mimba:, BADILI TABIA:mimba: na cacico:mimba: kabla wenzio hawajawekeza.
Sijakupotezea bhana nipo tu na:ranger:mambo yako huku.
kwi kwi kwi! ila sasa hizi kashfa! lol
mzima weye??Aaah! nijikute tu naondoka halafu Bishanga nimwachie nani?ingekuwa kutajwatajwa unaachia ngazi Bishanga angekuwa ameachia ngazi inabidi mtu kukomaa kiakili na kuface challenges kwanza tupo kichit chat zaidi
khaaaaaaaaaaaa! lolest! hubby umeona kazi hii??Mponde raha!!???
Ulivyowatoa kwao ulitegemea wakulee mpaka lini?
Hebu wape haki yao wewe,
Yummy:mimba:, BADILI TABIA:mimba: na cacico:mimba: kabla wenzio hawajawekeza.
Sijakupotezea bhana nipo tu na:ranger:mambo yako huku.
umeona ee hubby!? lolYanini kuhangaikia kulea watoto kipindi hiki? Ngoja kwanza tuponde raha!
BTW ndio nini kupotezeana namna hii??
nitakuPM nikwambie! anaanzia na 'S' ila usimng'oe macho, msamehe hubby! ngoja aiangalie hiyo nilivyokuwa UD!Nani huyo malabuku zake? Anafunika shimo la Panya kwa mkate? Hahahahaha!! Usisome signecha yangu, nimeidediketia mtu flani hivi LOL