St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Sasa kipi kinakukera? Huwezi kum-control mtu kwa kile anacho kifanya
Ni sawa na kusema hupendi jua linavo toka hivo unaamua kukaa ndani
Ili iweje sasa? utawakimbia JF, utakuta na wengine facebook au twitter
na hao utawakimbia pia? Just ignore them. wakikutaja hayakuhusu...
Watu humu ndani wako wazi kutaja na kutajwa, wewe si umejitaja?
My opinions, kupasusa hapa, kwa reasons ulizotoa, ni sawa na kugombana na kimvuli ! Kama sio kumsusia Fisi bucha!
Nachelea kusema nna hakika hao wakukwazao hata sura zenu hamjuani !
Ikuteseje ?
nasikitika kuwataarifu kuwa kuanzia jumapili ya tarehe 12 sitakuwepo tena jf, najipiga ban ya hiyari kwani nimechoka kufuatiliwa. nahisi kuboreka na wanaonibore na wanajijua/wanajifahamu. yan wakipost topic ama kukoment hawachoki kunitaja taja. jaman siwataki hv mkoje! bakini na jf yenu mfurahie bila kuniona ili roho zenu zifurahi. . . . kwaheri ya kutoonana!
Haya dada, hatuna budi ila kuheshimu uamuzi wako
Huko unakoenda msalimie mwalimu wangu FaizaFoxy
Msalimie cousin wangu Husninyo, mwambie I love her
Msalimie EMT, muulize habari ya siku nyingi? mzima?
Msalimie Mod Brialex, na wengine wote walio jitoa JF
Natamani ningekutana na wewe maana unavyotetea uhuru wako,kumbuka tu kuwa hapa unaongea na kompyuta sasa huku mitaani ukikumbana na vikwazo kama hivi sijui inakuwaje,kwa mtazamo wangu naona hii ungeichukulia kama changamoto ya kukabiliana na maisha endapo utakutana na hali hii live.Tatizo halikimbiwi hata siku moja bali ni kulikabili na bado ninarudia usiondoke tumekuzoea mwaaaaah
My opinions, kupasusa hapa, kwa reasons ulizotoa, ni sawa na kugombana na kimvuli ! Kama sio kumsusia Fisi bucha!
Nachelea kusema nna hakika hao wakukwazao hata sura zenu hamjuani !
Ikuteseje ?
Nooo!
Please,
think twice chaminglady. We real love you to stay. We need you more than any time. So please kindly stay. Thanx
Judgement hapo umenena mkuu.
Mtu anakukera hata sura wala umbo hulijui ni sawa na kupigana na kivuli.
Cha msingi Ignore them to ur list ndio uamuzi wa mwisho kbs,la sivyo utaendelea kujitesa tu.
Ila mamito don' do ths,
JF NI YA WASTAARABU NA WACHACHE WASO
Tangu jana bado unaaga tu? Atensheni Sikaz mna Matatizo kwelikwel.mkuu ntajitahidi lakin mh, maji nshayavulia nguo sina budi kuyaoga!
beibe nasty kipenzi najua unanipenda sana km shost ako hata me nakupenda, u cant blv nami chozi limenitoka nlivosoma post yako. hebu ngoja nifikirie mara mbili tatu,bt moyo unakataa kweli!