Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,569
- 284,095
Mungu akuzidishie kwa moyo wako Mweupe uliouonyesha .
Amepewa malezi mazuri sana na mamake...nikikumbuka ile picha alivyotoka mamake akampakata dah! Mie ni revenge had nikae sawaMungu akuzidishie kwa moyo wako Mweupe uliouonyesha .
“Nitaendelea alipoishia JPM “ Mh Samia Suluhu 26-03- 2021Mungu ni mwema, tuko salama chief.
Acha umaku na ww unamtisha nan“Nitaendelea alipoishia JPM “ Mh Samia Suluhu 26-03- 2021
Boss😊Maneno machache sana, lakini yamebeba ujumbe mkubwa.
Nimeshindwa niandike kipi zaidi.
Boss😊
Mimi?Pole kwa msiba
Mungu ni mwema, comrade.Maneno machache sana, lakini yamebeba ujumbe mkubwa.
Nimeshindwa niandike kipi zaidi.
Last month tulimuona dah...bado Tulia na Ndugai .shenziHv ni kweli JPM amefukiwa siamini itakuwa ni ndoto tu.
Katika maisha ya mwanadamu, mambo mawili: mwanzo na mwisho, ni hakika.
Japo ni Mungu pekee ajuaye, kwa upendeleo, sisi tumeuona mwanzo na mwisho wako.
Tumejifunza mengi kupitia maisha na kifo chako – Ee Mungu tujaalie mwisho mzuri.
Kwaheri Mhe. JPM.
Katika maisha ya mwanadamu, mambo mawili: mwanzo na mwisho, ni hakika.
Japo ni Mungu pekee ajuaye, kwa upendeleo, sisi tumeuona mwanzo na mwisho wako.
Tumejifunza mengi kupitia maisha na kifo chako – Ee Mungu tujaalie mwisho mzuri.
Kwaheri Mhe. JPM.
[/QUOT
Kwani wewe ni shoga mpaka utukumbushe?Tulikua tumesahau maswala ya ushoga
Hahhahahahaa nimecheka kwa ngv mno jaman kila mtu anashangaaa🤣🤣🤣🤣Kwani wewe ni shoga mpaka utukumbushe?
Mimi?
Mungu ni mwema, comrade.
Kinawasha?Tulikua tumesahau maswala ya ushoga