Kwaheri Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Kwaheri Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Katika maisha ya mwanadamu, mambo mawili: mwanzo na mwisho, ni hakika.

Japo ni Mungu pekee ajuaye, kwa upendeleo, sisi tumeuona mwanzo na mwisho wako.

Tumejifunza mengi kupitia maisha na kifo chako – Ee Mungu tujaalie mwisho mzuri.

Kwaheri Mhe. JPM.
Ww mwenyewe unatuhumiwa humu kuwa, unahusika kuwanywesha watu sumu huko chamani...... Jibu hii hoja magoti
 
Katika maisha ya mwanadamu, mambo mawili: mwanzo na mwisho, ni hakika.

Japo ni Mungu pekee ajuaye, kwa upendeleo, sisi tumeuona mwanzo na mwisho wako.

Tumejifunza mengi kupitia maisha na kifo chako – Ee Mungu tujaalie mwisho mzuri.

Kwaheri Mhe. JPM.
hakika
 
Hivi eti hilo kaburi la kuslaidi ndugu tukitaka kulifunua kama hotpot linafunuka muda wote?

Genaya mashikolo mageni gete (waweza omba msaada kwa mkalimani kama haujaelewa)
Hahahahha..naskia ni kama mageti ya kuslide.ndan hakuna habari za kujaziwa "malongo"😅😅! Yaan siku ukimiss kuangalia nadhan unalislidisha tu
 
Katika maisha ya mwanadamu, mambo mawili: mwanzo na mwisho, ni hakika.

Japo ni Mungu pekee ajuaye, kwa upendeleo, sisi tumeuona mwanzo na mwisho wako.

Tumejifunza mengi kupitia maisha na kifo chako – Ee Mungu tujaalie mwisho mzuri.

Kwaheri Mhe. JPM.
Wewe ni yule magoti yule yule HRLC pale kwa Ana Henga uliyesoteshwa kwa deal ya utakatishaji fedha? kama siyo wewe take easy.nakumbuka jina kama hilo
 
Back
Top Bottom