Kwaheri Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Hope umesema yaliyo moyoni, umeitema nyongo japo sijajua ni kwa kiasi gani coz umeandika short, wengine wanaandika kila siku; hope now umesamehe na kusahau yaliyokupata, in this world we live by learning in different ways everyday kama ulivyosema mwishoni.

No need to stick with the past anymore, now move on, Big up.
 
Una moyo wa kipekee hongera sana mkuu
Ni haki kumpongeza huyu Magoti. Mambo ni mengi na saa kama ni chache! Vile huyu bwana alishirikisha jf madhila alokumbana nayo mahabusi baada ya kunusurika kutekwa? Kama tayari nieleze ni bandiko lipi nilisome. Kama bado nadhani itafaa afanye hivyo sasa. Ni wakati muafaka wakati bado tunaomboleza muasisi wa majambo ya aina hiyo!
 
Ni haki kumpongeza huyu Magoti. Mambo ni mengi na saa kama ni chache! Vile huyu bwana alishirikisha jf madhila alokumbana nayo mahabusi baada ya kunusurika kutekwa? Kama tayari nieleze ni bandiko lipi nilisome. Kama bado nadhani itafaa afanye hivyo sasa. Ni wakati muafaka wakati bado tunaomboleza muasisi wa majambo ya aina hiyo!
Duh...inaumiza jamani mie nna roho ndogo sana..
 
kwaheri shujaa
Image 26-3-2021 at 5.11 PM.jpg
 
Duh...inaumiza jamani mie nna roho ndogo sana..
Mkuu Wangari, the man, i.e. Magufuli alikuwa controversial sana. Sana tu. Mungu nisamehe kama nakosea lakini mimi naona ni kama Mungu ameamua kumwondoa ili watanzania wasiangamie tena. Hebu fikiria watu waliofariki tangu covid iingie na ambao wangeweza kupona kama angetuongoza vizuri. Ni kwa sababu watanzania tuko kama nyumbu na hatujihangaishi kufuatilia mambo lakini wamekufa watu wengi sana, tena vifo vya mateso kwa covid. Fungakazi ni pale walipokufa mapandri na watawa (of course na watu wengine wengi) na uongozi wa kanisa ulipoamua kuingilia kati kuwaeleza ukweli waumini wake, marehemu akawasema sana na kubeza. Hivi unataka kuniambia hakuwa anaona hivyo vifo? Ni kwanini hakujali na hakutaka uongozi wa kanisa ujali? Anafaidika nini kwa watu kufa? Unakumbuka mara ya mwisho kanisani alivyombeza uongozi wa kanisa kwa kusema watu wavae mask? Kutoka hapa ndiyo alianza kuugua na kifo. Mungu hadhihakiwi!
 
Mkuu Wangari, the man, i.e. Magufuli alikuwa controversial sana. Sana tu. Mungu nisamehe kama nakosea lakini mimi naona ni kama Mungu ameamua kumwondoa ili watanzania wasiangamie tena. Hebu fikiria watu waliofariki tangu covid iingie na ambao wangeweza kupona kama angetuongoza vizuri. Ni kwa sababu watanzania tuko kama nyumbu na hatujihangaishi kufuatilia mambo lakini wamekufa watu wengi sana, tena vifo vya mateso kwa covid. Fungakazi ni pale walipokuwa mapandri na watawa (of course na watu wengine wengi) na uongozi wa kanisa ulipoamua kuingilia kati kuwaeleza ukweli waumini wake, marehemu akawasema sana na kubeza. Hivi unataka kuniambia hakuwa anaona hivyo vifo? Ni kwanini hakujali na hakutaka uongozi wa kanisa ujali? Anafaidika nini kwa watu kufa? Unakumbuka mara ya mwisho kanisani alivyombeza uongozi wa kanisa kwa kusema watu wavae mask? Kutoka hapa ndiyo alianza kuugua na kifo. Mungu hadhihakiwi!
Ameua wengi sana amewakatili watu mob..nikimkumbuka erick kabendera jaman unapatwa hasira Mama Samia atafute suluhu jamani .watu wana madonda mioyoni mwao
 
Back
Top Bottom