Kwaheri Google Play Music, Karibu Youtube Music

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,634
10,715
Leo asubuhi nikaona ni play nyimbo za Xmass kwenye simu yangu Kufungua Google play Music nikakutana na ujumbe “......is no longer available” Na kunitaka nihamie Youtube Music

Nimeidownload hapa bado sijaona maajabu yake. Sana sana naona kama interface yake sijaipenda au sijui ni kwa sababu niliizoea sana Google music

Vipi kwako unaionaje?
 
Leo asubuhi nikaona ni play nyimbo za Xmass kwenye simu yangu
Kufungua Google play Music nikakutana na ujumbe “......is no longer available”
Na kunitaka nihamie Youtube Music

Nimeidownload hapa bado sijaona maajabu yake
Sana sana naona kama interface yake sijaipenda au sijui ni kwa sababu niliizoea sana Google music

Vipi kwako unaionaje?
Google ni bingwa wa kuanzisha vitu vingi vikafail mfano, Google glass, Google+,Google wave, Google notebook, Google answers, Orkut, Google catalogue search, Google video (siyo youtube), Google knol n.k
 
watu mna roho ngumu,yaani mimi kweli nitumie default player kama google kweli,aisee no.

jet audio
Screenshot_20201219-111444.jpg
 
NATUMIA SAMSUNG MUSIC PLAYER NI THE BEST KWANGU BAADA YA JET AUDIO
Siipendi Samsung Player yaani nimei disable kabisa
Niliizoea sana google music kwenye device zangu zote nilizopata kutumia za Android
 
ile kitu imekuwa tuned ina mziki mnene hasa kwenye high-end models kama s8+, s9, Note n.k
Mkuu kati ya watu ambao uwa nina imagine wana lifestyle flani ni wewe, nikitazama avatar yako na story zako basi uwa nina picture flani nimejijengeakichwani kwangu mtu wa goodlife flani.
 
ile kitu imekuwa tuned ina mziki mnene hasa kwenye high-end models kama s8+, s9, Note n.k
Samsung ana hardware nzuri kwa ajili ya sound output sio software
The last thing ill do ni ku play music kwenye equalizers
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom