GABRAISON5
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 208
- 44
Siku zote nimekuwa nikiwahusisha kwenye mikeka yangu mmeniangusha sana tena sana ila nikavuta subira nimeamua kuanzia kesho sitokuja kuwahusisha tena kwenye mikeka yangu mnampa faida kanjibah na kutusahau sisi wateja nasema ahsante