Kwaheri Balozi Simon Sirro

Huyu mtesaji wa demokrasia, kibaraka mkubwa wa marehemu magufuli nashangaa bado upo!
 
Huyu ndiye aliyekuwa Igp wa ovyo ambae haijapata kutokea toka tuingie katika mfumo wa vyama vingi huyu alihusika na kila uovu uliofanyika wakati wa magufuli tunamuomba Mungu amlipe anavyostahili kwa mabaya yote aliyoyasimamia.
 
Si shaka wewe ni police mnafiki, unateta tena maneno
 
Vipi ashtakiwe kama yeye, ili hali wakati anawaweka aliwaweka kama IGP? tupe ufafanuzi.....
 
Hiyo kesi inafunguliwa wapi na inapelekwa mahakama Gani kusikilizwa....???πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
The Hague πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…