Unajidanganya Sana mkuu fikra za ki chagga gang hiziNimeona kwenye mitandao ya Kijamii kuwa umeagwa rasmi ndani Jeshi la Polisi,tunakupongeza kwa utumishi wako!!
Naomba nikukumbushe,yule uliyekuwa unampiga vita Sana na kumpelekea maneno ya majungu kwa Rais JPM dhidi yake
Kote kugumu ila Tundu Lisu kagoma kuwa CHAWAKazini majungu ni mengi, na kwenye biashara wenye husda na wachawi ni wengi, pia kwenye siasa chawa na wanafiki ni wengi. Hii ndio Tanzania.
Kazini majungu ni mengi, na kwenye biashara wenye husda na wachawi ni wengi, pia kwenye siasa chawa na wanafiki ni wengi. Hii ndio Tanzania.
Chawa wa lowasa huyo.Kote kugumu ila Tundu Lisu kagoma kuwa CHAWA
Aisee!!Chawa wa lowasa huyo.
tundu ni mtu fulani hivi anasimamia anachokiamini ,hata Kama ni ujinga ,anaona ni kheri awe mjinga kuliko kujisaliti mwenyewe ,hata Kama amesaliti. nampongeza kwa Hilo.Kote kugumu ila Tundu Lisu kagoma kuwa CHAWA
Mkubwa ni mkubwa tu nchi hii, hawa jamaa hawa wana syndicate ya kusaidiana
Uchawa mwisho CCMChawa wa lowasa huyo.
Mbona unayo yaandika yamekosa utulivu...Nimeona kwenye mitandao ya Kijamii kuwa umeagwa rasmi ndani Jeshi la Polisi,tunakupongeza kwa utumishi wako!!
Naomba nikukumbushe,yule uliyekuwa unampiga vita Sana na kumpelekea maneno ya majungu kwa Rais JPM dhidi yake na kwa kuwa ulijua kuwa ni tishio kwako ndio amekuwa IGP wa Sasa!! Kwa hiyo,Jioni wakati unahitimisha siku yako ya kuagwa,jaribu ukae nae na umwambie asahau yaliyopita mgange yajayo!!
Pia,nikudokeze kuwa wale Askari wa Zanzibar uliowaweka miezi 4 mahabusu kwa amri ya kwako binafsi kupitia kwa yule ofisa uliyemtuma kutoka Makao Makuu-Dodoma watakufilisi walikuwa wanaisubiri siku ya leo!!
Yule ofisa uliyemtuma alivyokuwa mjanja,hakuacha maandishi popote pale katika sakata lote lile,na mpaka linafikishwa Mahakama hayupo katika orodha ya mashahidi ingawa yeye ndie alikuwa kocha Mkuu kwa niaba yako!!
Mwisho,nakutakia kila la kheri katika Kustaafu kwako!!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kutoboa bongo unahitaji kuwa bold sanaKazini majungu ni mengi, na kwenye biashara wenye husda na wachawi ni wengi, pia kwenye siasa chawa na wanafiki ni wengi. Hii ndio Tanzania.
Leo huko uwanjani umemuona Waziri wa Mambo ya ndani?Mbona unayo yaandika yamekosa utulivu...
una hoja...kumbuka IGP ana Kinga...balozi ana Kinga...
Unachanganyikiwa boss cheki freshChawa wa lowasa huyo.
Sio Kwamba Nina chuki na Balozi hapana,ninamtakia kila la kheri,nimempa tu dondoo kitu kinachoendelea!!unajidanganya Sana mkuu.fikra za ki chagga gang hizi