Ethos
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 2,294
- 2,090
HongereniMi nilikuwa Le Patio ilikuwa bomba mbaya.
HongereniMi nilikuwa Le Patio ilikuwa bomba mbaya.
CHADEMA imekujaje hapo mkuu?Si chadema wanasema hamna hela??
Ama kweli njia ya mnafiki ni fupi
Na kwako pia mkuuHappy New year
Yeah man... Jamaa alitaka kupiga marufuku ila naona watu waliliendelezaArusha hawakoseagi
GENEVA of Africa wanaiitaArusha kama ulaya
Wambie na Chato wafanye kama hivyo...idiotSi chadema wanasema hamna hela??
Ama kweli njia ya mnafiki ni fupi
Half London ya TzGENEVA of Africa wanaiita
Kuna watu watakuja kubisha.. Ngoja wajeHalf London ya Tz
Ninakaa Dodoma sijawahi ona hiyoArusha hawakoseagi
Hahaha.. Kwani mume anakukataza?Nilifurahia sana ningetupia picha kukuunga mkono ila nimeshaenda kwa mume. Njanuari hii nisije peleka watoto shule za kata.
Heri ya mwaka mpya wana jf wote.