Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Hakuna rational investor atakayethubutu kuwekeza hata senti ya akiba yake nchi hii. Tunakoelekea soon utasikia yale yale ya mwaka 1967. Utaifishaji wa mali za watu waliofanya kazi kwa bidii wakapata ziada ya kuwekeza kwenye secta mbali mbali kwa kigezo kwamba ziada hiyo wameipata kwa kuwanyonya wanyonge ambao kimsingi ni wazembe, wazururaji, mashabiki wa mpira na vyama vya siasa ambao kutwa wanashinda vijiweni badala ya kufanya kazi wakisubiri waajiriwe. Chezea bongo land wewe !!It’s highly unusual for a 20 year+ established Stock Exchange to have a trading volume of 0 - a whole trading day without a single share being traded. Not even a cent! One for the financial history
Mtaa gani kenge weweKiukweli
Hali ya uchumi ni mbaya mno, mambo hayaendi kabisa uku mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaa wa lumumba!! Unadhania kwa kazi wanayoifanya nyumbu fc kwenye mitandao ya kijamii ya kuwaaminisha watu hii ni nyeupe wakati ni nyeusi, ni wa kupewa buku saba kweli?? Na mtu akaridhika licha ya mitusi wanayopolomoshewa?!! Kama hali ingekuwa nzuri mtaani, angalau wangekomalia japo dola 50, kwa siku!!Mtaa gani kenge wewe
Ndio maana unalalamika hali ngumu?,patheticMtaa wa lumumba!! Unadhania kwa kazi wanayoifanya nyumbu fc kwenye mitandao ya kijamii ya kuwaaminisha watu hii ni nyeupe wakati ni nyeusi, ni wa kupewa buku saba kweli?? Na mtu akaridhika licha ya mitusi wanayopolomoshewa?!! Kama hali ingekuwa nzuri mtaani, angalau wangekomalia japo dola 50, kwa siku!!
Mtaa gani kenge wewe
Mtaji wenu ni ujinga na umasikini wa wa tz, walio wengi!!Ndio maana unalalamika hali ngumu?,pathetic
Mlizoea vya kunyonga ,patheticWewe MATAGA acha kujitoa akili na ufahamu, hali ya kiuchumi ni ngumu hakuna jambo linalokwenda.
Mtaji wako ndukum,sawaMtaji wenu ni ujinga na umasikini wa wa tz, walio wengi!!
Mlizoea vya kunyonga ,pathetic
Kuna kampuni fulan wanakwambia stock yao ikiisha tu. Wanasepa. Wameajir vjana kibao yanHakuna rational investor atakayethubutu kuwekeza hata senti ya akiba yake nchi hii. Tunakoelekea soon utasikia yale yale ya mwaka 1967. Utaifishaji wa mali za watu waliofanya kazi kwa bidii wakapata ziada ya kuwekeza kwenye secta mbali mbali kwa kigezo kwamba ziada hiyo wameipata kwa kuwanyonya wanyonge ambao kimsingi ni wazembe, wazururaji, mashabiki wa mpira na vyama vya siasa ambao kutwa wanashinda vijiweni badala ya kufanya kazi wakisubiri waajiriwe. Chezea bongo land wewe !!
Hapo ndipo utajua kama Lisu alisema ukweli kuhusu ile mikataba ya kimataifa.Hakuna rational investor atakayethubutu kuwekeza hata senti ya akiba yake nchi hii. Tunakoelekea soon utasikia yale yale ya mwaka 1967. Utaifishaji wa mali za watu waliofanya kazi kwa bidii wakapata ziada ya kuwekeza kwenye secta mbali mbali kwa kigezo kwamba ziada hiyo wameipata kwa kuwanyonya wanyonge ambao kimsingi ni wazembe, wazururaji, mashabiki wa mpira na vyama vya siasa ambao kutwa wanashinda vijiweni badala ya kufanya kazi wakisubiri waajiriwe. Chezea bongo land wewe !!