Kwa yoyote anayejua kampuni ya Legrand

Kwa yoyote anayejua kampuni ya Legrand

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,019
Reaction score
10,051
Bandugu,

Kuna kampuni inaitwa Legrand hii ni kampuni kutoka France inajihusisha na mambo ya IT.

Najua hapa JFni easy kupata information zote, ombi langu ni Kwa mtu yoyote ambae amewahi kufanya kazi na hawa jamaa kwa aina moja au nyingine.

Nataka kupata information chache bfr sijafanya maamuzi ya kuacha kibarua changu na kwenda kujiunga nao.

Shukran
 
Hilo ni casino achana nalo
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

Screenshot_20220427-232423_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom