Aisee hii dunia ni kama tunarudi nyuma.
Yaani kupost tu unaogopa je, wale Wazimbabwe na wale wa MSUMBIJI waluopigania uhuru wao kwa damu wangekuwa kama wewe si mpaka leo wangekuwa wanatawaliwa.
Lucas Mwashambwa akiona hiyo picha atabubujikwa na machozi ya furaha huku akiwa amesahau kabisa kwamba huyo chui kesho na keshokutwa ataumwa na njaa Tena. Lakini pia anashindwa kujua kwamba analiye chini Ni ndugu yake wa damu.