Kwa yaliyotokea ARUSHA kuna Police Jamii kweli?!

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,662
Hainiingii akili kwa hali niliyoiona na kusikia yaliyotokea Arusha mpaka damu imemwagika ntashangaa kumsikia mtu akizungumzia POLICE JAMII.Je hao police wanaotaka kushirikiana na Jamii ni jamii ipi ambayo leo mnawatesa na kuwapiga bila hatia? Hivi leo wanajamii wa Jiji la Arusha watatoa taarifa zipi kwa jeshi la police ambazo zitakua na msaada kwa Jeshi?Kwa ninavyoamini mimi huwezi kupata habari nzuri au mbaya kwa adui.POLICE POLICE POLICE cku 2kiamua patageuka Dafur
 
Back
Top Bottom