Habari zenu..
Mimi nimezaliwa DAR, Sasa katika cheti changu cha kuzaliwa kwenye place of birth pamejazwa:- Dr K.K.Khan Maternity...nawaomba wana Jf wenye kujua hii sehemu iko wapi wanijuze ili niweze kwenda kuitembelea....ningeweza kuwauliza wazazi wangu lakini wametangulia mbele ya haki zamani
DR K.K .KHAN MEDICAL SERVICES+255 22 2126779
P. O. BOX 78127
DAR ES SALAAM
+255 (0)22 2115759
+255 22 121552
City Centre - India str.
mmhDR K.K .KHAN MEDICAL SERVICES+255 22 2126779
P. O. BOX 78127
DAR ES SALAAM
+255 (0)22 2115759
+255 22 121552
City Centre - India str.
Thread nyingine bana..
Hivi kuzaliwa Dar kumbe nako ni big deal?Tungejuaje kama amezaliwa Dar!
Hivi kuzaliwa Dar kumbe nako ni big deal?
Hivi kuzaliwa Dar kumbe nako ni big deal?
Habari zenu..
Mimi nimezaliwa DAR, Sasa katika cheti changu cha kuzaliwa kwenye place of birth pamejazwa:- Dr K.K.Khan Maternity...nawaomba wana Jf wenye kujua hii sehemu iko wapi wanijuze ili niweze kwenda kuitembelea....ningeweza kuwauliza wazazi wangu lakini wametangulia mbele ya haki zamani
Hivi kuzaliwa Dar kumbe nako ni big deal?
Funnier than FUNNY LOL!!!!!!!!!!!!!Ndugu yangu hujasikia wenyewe wanakwambia kitendo cha kuzaliwa Dar tayari wewe ni form 6!
Hicho cheti cha kuzaliwa ulikiokota? Au umeenda mwenye kuchukua RITA? inaelekea umezaliwa kwenye late 80s! na utoto bado unakusumbua!